AyoTV

VIDEO: ‘Unakuta mwanafunzi wa kike anakaa chumba kimoja na mwanaume’ -Bonnah Kaluwa

on

April 18, 2017 Wabunge walipata nafasi ya kuchangia bajeti ya Wizara Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa serikali za mitaa iliwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambapo kati ya Wabunge waliopata nafasi alikuwa ni pamoja na Mbunge wa Segerea Bonnah Kaluwa ambaye kati ya vitu alivyogusia ni changamoto za wanafunzi nchini.

VIDEO: Utani wa Spika Ndugai kuhusu team iliyofungwa 4-0

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments