“Skudu Makudubela perfomance zero, hauziki, chenga hatari kama Okocha, Ronaldinho (+video)
Kipindi hiki cha usajili Pascal Mwakyoma amefanya mahojiano na Mchambuzi wa Soka Ramadhan Mbwaduke kubwa kuchambua baadhi ya sajili za msimu huu wa 2023/24. Hapa na leo nakuletea uchambuzi wa…
Silaha hatari, nzito duniani za maangamizi, hazifai kutumika
Ndani ya AyoTV nimekuandalia makala fupi juu ya Silaha kumi nzito za maangamizi duniani, nyingine hata hazitumiki, bonyeza PLAY hapa chini kutazama makala hii https://youtu.be/kWjoII7fSTI https://www.youtube.com/watch?v=aF0293k_cqI
Al Hilal wamtema Neymar kwenye mipango yao
Klabu ya Al Hilal ya ligi kuu nchini Saudi Arabia imemfuta jina mshambuliaji wa Brazi Neymar Jr kwenye mipango yao ya msimu huu ya kuwania taji la Saudi Pro League.…
Celine Deon ashiriki picha ya familia katika kumbukizi ya marehemu mumewe
Mwanamuziki Celine Dion ametoa salamu za pongezi kwa marehemu mumewe, René Angélil, siku ambayo ingekuwa siku yake ya kuzaliwa ya miaka 83. Katika ukurasa wake wa instagram amepost picha akiwa…
Amorim amsaka nyota wa Premier League kutatua matatizo ya beki wa kushoto
Mipango ya uhamisho ya Manchester United inazidi kupamba moto huku kocha mkuu Ruben Amorim akiripotiwa kuelekeza macho yake kwa beki wa Wolverhampton Wanderers Rayan Ait-Nouri. Huku Red Devils wakihangaika kupata…
Kylian Mbappe alivyopata wivu baada ya Lionel Messi kuwasili PSG :Neymar
Supastaa wa Brazil, Neymar Jr. anaamini kuwa uhusiano kati yake na Kylian Mbappe huko Paris Saint-Germain ulikuwa mzuri sana hadi Lionel Messi alipowasili 2021 na wivu ukaingia moyoni mwa nyota…
Ole Gunnar Solskjaer apiga U-turn ya kushangaza kwenye soka
Baada ya kukosekana kwa muda mrefu kwenye ulimwengu wa ukufunzi, Ole Gunnar Solskjaer amekamilisha makubaliano yake na klabu mpya kuchukua uongozi katika kipindi kijacho. Mtandao wa Sky ulithibitisha kuwa Solskjaer…
Allegri kufundisha Al-Ahli kuanzia msimu ujao
Uongozi wa Saudi Al-Ahli uliamua kumfukuza kocha Matthias Jaissle kutoka wadhifa wake kutokana na matokeo duni. "Castle of Cups" ilipata kichapo kisichotarajiwa dhidi ya Al-Khulud, ambacho kilizua mashambulizi makali dhidi…
Amad Diallo amaliza laana ya Ronaldo na Manchester United
Amad Diallo alikuwa nyota kwenye mechi kati ya Manchester United na Southampton, baada ya kufunga hat-trick ambayo iligeuza matokeo ya mashetani Wekundu kuwa ushindi wa thamani wa mabao matatu kwa…
Tuna uwezo wa kushindana na vilabu vingi :Slott
Kocha Arne Sloat alitoa kauli muhimu kabla ya pambano la timu yake dhidi ya Brentford Jumamosi, Januari 18, katika mfumo wa mzunguko wa 22 wa Ligi Kuu ya Uingereza, na…
Real Madrid yatangaza jeraha la Camavinga
Klabu ya Real Madrid ya Uhispania ilitangaza kuumia kwa nyota wa Ufaransa Eduardo Camavinga, na kutokuwepo kwenye timu kwa kipindi kijacho. Klabu hiyo ilisema: “Baada ya vipimo vilivyofanywa leo kwa…
Marcelo afanya matembezi Real Madrid
Real Madrid ilitangaza, kupitia tovuti yake, uwepo wa Marcelo, nyota wa zamani wa timu hiyo, wakati wa ushindi wa jana dhidi ya Celta Vio katika Kombe la Mfalme wa Uhispania.…