Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam March 27, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania,
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Ni Machi 25, 2023 ambapo kulifanyika Usiku wa Malkia wa Nguvu katka Ukumbi wa Mlimani City Hall Dar es Salaam. Na hapa nimekusogezea Picha za matukio mbali mbali kutoka kwenye…
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Mbunge wa Jimbo la ‘Hanang’ Mhandisi Samwel Hhayuma amesema uwepo wa Baraza la Ardhi Wilayani Hanang’ itasaidia kupunguza migogoro ya Wakulima na Wafugaji pamoja na kuondoa gharama kwa Wananchi waliokuwa…
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Ni Machi 26, 2023 ambapo Millardayo.com & Ayo TV inakukunisha na stori ya Mfugaji Mariam Mwipasya ambae ni Mkazi wa Isanu Wilaya ya Busokelo Mkoani Mbeya. Ambae amefunguka yale tusiyoyajua…
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
Selemani Jafo (Mb). Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira amesema mkoa wa Dar es Salaam unakabiliwa na uharibifu wa mazingira ikiwemo kuchimba Mchanga na Kokoto.…
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa takatifu ya kumuombea Hayati Dkt. John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano. Misa imefanyika kwenye viwanja vya madhabahu ya Bikra…
Kocha Mkuu wa Taifa Stars awaita kikosini wachezaji hawa wawili wa Simba SC
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Adel Amrouche amewaongeza kikosini wachezaji wa Simba SC Mohamed Hussein pamoja na Shomari Kapombe ikiwa siku chache zimepita toka aonekane…
Full Video: Tazama Mandonga alivyompiga Kenneth ‘Raia wa Uganda’ na kuibuka Mshindi wa Pambano hilo
Bondia Mtanzania Karim Mandonga amefanikiwa kushinda pambano lake dhidi ya bondia Kenneth Lukyamuzi Raia wa Uganda kwa point katika pambano la round 8 katika pambano lililochezwa Nairobi Kenya katika ukumbi…
Jionee ilivyotua Ndege kubwa ya Saudi Arabia Airport DSM, Makamu waRais aondoka nayo
Kwa mara ya kwanza Ndege kubwa aina ya Airbus ya Shirika la Ndege la Saudi Arabia imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Akipokea ndege hiyo Waziri…
Picha: Hawa ndio ‘Perfect Kanzu’, mastaa na Watu maarufu ununua hapa Kanzu zao Dar es Salaam
Katika kipindi hiki cha Mfungo wa mwezi Mtukufu ukiniuliza wapi utanunua Kanzu yako basi nitakuambia ufike katika Duka liitwalo Perfect Kanzu lililopo Gsm Mall Msasani Dar es Salaam. Na hapa…