Takriban watu 25 wauawa huku ndege za Urusi na Syria zikizidisha mashambulizi katika maeneo ya waasi
Takriban watu 25 waliuawa kaskazini-magharibi mwa Syria katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na serikali ya Syria na Urusi, shirika la uokoaji linaloendeshwa na upinzani nchini Syria linalojulikana kama White Helmets…
Putin aalikwa kuzuru nchini India,tarehe za ziara hiyo kutangazwa mapema 2025
Rais wa Urusi Vladimir Putin amepokea mwaliko wa kuzuru India kutoka kwa Waziri Mkuu Narendra Modi na tarehe za ziara yake zitapangwa mapema 2025, msaidizi wa Kremlin Yury Ushakov alisema.…
Mke wa rais wa zamani wa Ivory Coast kuwania urais 2025
Orodha ya wawaniaji urais nchini Ivory Coast ilikua kubwa. Mshiriki wa hivi punde ni mke wa zamani wa Rais wa zamani Laurent Gbagbo. Simone Ehivet alishinda uteuzi wa chama chake,…
Sudan Kusini imepata zaidi ya dozi Laki 2 za chanjo ya kipindupindu
Katika kukabiliana na milipuko ya kipindupindu nchini Sudan Kusini, Wizara ya Afya, kwa msaada wa Shirika la Afya Duniani (WHO) imepata zaidi ya dozi 282 153 za chanjo ya kipindupindu…
Joe Biden amsamehe mtoto wake katika wiki za mwisho za urais wake,aanzisha mjadala mzito Marekani
Rais wa Marekani Joe Biden siku ya Jumapili alitoa msamaha rasmi kwa mtoto wake Hunter, ambaye alikuwa anakabiliwa na hukumu ya kesi mbili za uhalifu, licha ya kuhakikishiwa kwamba hataingilia…
UNICEF yaeleza hofu yake juu ya kiwango kikubwa cha maambukizi ya VVU miongoni mwa wanawake vijana, wasichana
Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa kuhudumia watoto ulitaja hofu yake siku ya Ijumaa kuhusu kiwango cha juu cha maambukizi mapya ya VVU miongoni mwa vijana wa kike na wa…
Makundi ya Ufilipino uso kwa uso Makamu wa Rais wataka afukuzwe
Muungano wa mashirika ya kiraia nchini Ufilipino siku ya Jumatatu utawasilisha malalamiko ya kumuondoa madarakani Makamu wa Rais Sara Duterte, kulingana na kundi la wabunge wa chama cha Akbayan, ambalo…
Guinea: Makumi ya watu wafariki katika mkanyagano baada ya mapigano uwanjani nchini Guinea
Makumi ya watu waliuawa katika mapigano makali wakati wa mechi ya soka nchini Guinea Jumapili jioni. Vurugu hizo zilitokea wakati wa mechi kati ya timu ya soka ya Labe na…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 2, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 2, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 2, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 2, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.