Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 2, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 2, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 2, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 2, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Wadau wa elimu wamepongezwa kwa kuonesha juhudi kuhakikisha wanaongeza miradi yenye kukuza sekta ya elimu
Katika kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata elimu, wadau mbalimbali wa elimu wamepongezwa kwa kuonesha juhudi juu ya kuhakikisha wafanikiwa kwa kuongeza miradi yenye kukuza sekta ya elimu. Hayo yamebainishwa…
Rais Samia atoa pole ya Mil 20 kwa familia ya King Kikii na Fred Kiluswa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa mkono wa pole kwa familia ya mwanamuziki mkongwe wa dansi, Marehemu Boniface Kikumbi "King Kiki" na familia ya…
PART 2: Lugumia afunguka ukweli wa maisha yake, uswahiba wake na Kikwete
Hii ni sehemu ya pili ya mahojiano ya Mfanyabiashara Maarufu Tanzania, Saidi Lugumi akielezea fursa za kibiashara zilizopatikana kwa Rais wa Awamu ya Tano, historia ya urafiki wake na Mstaafu…
Rais wa chama cha majaji na mahakimu Tanzania atoa kauli kuhusu TEHAMA ilivyoondoa rushwa
Majaji na Mahakimu zaidi ya mia tatu wanaotarajiwa kukutana mkoani Arusha kuanzia kesho watapata fursa ya kujengewa uwezo katika maswala ya kuendesha Kesi za jinai,madai na migogoro ambapo lengo kuu…
Hamisa na Baba Levo washinda tuzo
Mwimbaji Star Clinton Levokatusi Chipando Maarufu Kama Baba Levo Pamoja na mrembo Hamisa Mobetto wameshinda tuzo ya Influencers Bora wa Mwaka kupitia tuzo za Consumer Choice Awards Africa zilizotolewa Usiku…
TCAA yanyakua tuzo 3 za mwajiri bora 2024
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), imenyakua tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo za Mwajiri Bora zilizofanyika jijini Dar es Salaam Novemba 29, 2024. Katika usiku huo wa…
Ujenzi wa uwanja wa AFCON Arusha wafikia 11%
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amesema anaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 1, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 1, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.