Kyiv imepokea vifaru aina ya Abrams kutoka kwa Washington
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema jeshi lake limepokea vifaru vya kivita aina ya Abrams kutoka nchini Marekani, hatua anayosema imepiga jeki vikosi vya jeshi la Kyiv katika vita vyake…
Mo Salah avunja rekodi ya Premier League kwa kufunga bao dhidi ya West Ham United
Mchezaji wa Liverpool, Mohamed Salah alivunja rekodi nyingine kwenye Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kuwahamasisha The Reds kushinda 3-1 dhidi ya West Ham United Jumapili. Salah alifunga bao la…
Odesa: Watu wanne waliuawa katika shambulio la usiku la kombora
Maafisa wa Ukraine wametangaza kuwa watu wanne waliuawa katika shambulizi la Urusi kwenye mji wa Odesa usiku kucha. “Uharibifu mkubwa” pia umesababishwa kwa miundombinu katika bandari ya Bahari Nyeusi na…
Marekani wafanya upasuaji wa 2 duniani wa kupandikiza moyo kutoka kwa nguruwe hadi kwa binadamu
Madaktari wa upasuaji nchini Marekani wamefanya upasuaji wa pili duniani wa kupandikiza moyo wa nguruwe uliobadilishwa vinasaba kwa binadamu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumatatu na Chuo Kikuu cha Maryland…
Ashtakiwa kwa kuwapiga watoto wake 3 hadi kufa
Polisi nchini Thailand wamemshtaki mwanamume mmoja kwa kumpiga hadi kumuua bintiye wa miaka miwili na wanawe wawili wachanga wakiume. Wanashuku kuwa Songsak Songsaeng pia aliwaua watoto wengine wawili wa kiume…
Bruno Saltor ameacha nafasi yake kama kocha wa kikosi cha kwanza katika klabu ya Chelsea.
Mhispania huyo aliteuliwa kama sehemu ya timu ya nyuma ya Mauricio Pochettino baada ya kuteuliwa kama bosi wa The Blues majira ya joto, lakini ametolewa nje ya mlango wa kutokea…
Tottenham wametangaza makubaliano ya kumsajili beki chipukizi kutoka Croatia…
Tottenham wametangaza makubaliano ya kumsajili beki chipukizi kutoka Croatia Luka Vuskovic kutoka Hajduk Split. Hata hivyo, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 16 hatajiunga na klabu hiyo ya London hadi…
Urusi yamuweka rais wa ICC kwenye orodha yawanaotafutwa
Urusi imetangaza kuwa imemweka Piotr Hofmanski, rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, inayotaka kukamatwa kwa rais Vladimir Putin, kwenye orodha ya wanaosakwa. “Hofmanski Piotr Jozef, anatafutwa chini ya kifungu…
‘Naweza kumfufua Mohbad’ nahitaji kuona maiti yake- Nabii
Nabii aliyejitambulisha kwa jina la Oba Ewulomi amedai kuwa anaweza kumfufua marehemu mwimbaji wa Nigeria Ilerioluwa Aloba, almaarufu Mohbad kulingana na Dailypost. Mohbad alifariki katika mazingira ya kutatanisha mnamo Septemba…
Muhanga wa Cancer kwa miaka saba, atoa tabasamu Bugando
Imeelezwa kuwa Hospitali ya Rufaa ya kanda Bugando Kitengo cha Saratani (Cancer) hupokea wagonjwa wapya 1,600 kila mwaka Hospitalini hapo kwa lengo ya kupata matibabu ya Saratani huku kundi la…