Mchezaji nyota wa Kombe la Dunia la FIFA la 1990 Salvatore Schillaci afariki akiwa na umri wa miaka 59
Mwanasoka wa Italia Salvatore Schillaci almaarufu “Toto” ambaye aliibuka kuwa shujaa wa Kombe la Dunia mwaka 1990, amefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani ya utumbo. Mshambuliaji huyo alifunga magoli sita…
“Diddy” Combs amenyimwa dhamana,atasalia gerezani
Mwanamuziki wa muziki wa hip-hop Sean "Diddy" Combs amenyimwa dhamana tena baada ya mawakili wake kubishana kwa mara ya pili kwamba anapaswa kuachiliwa kutoka kwenye hali "ya kutisha" ya jela…
Haiti yaunda baraza la muda kujiandaa kwa uchaguzi wa kwanza tangu 2016
Serikali ya Haiti siku ya Jumatano iliunda baraza la muda la uchaguzi lililotafutwa kwa muda mrefu na jumuiya ya kimataifa ili kuandaa nchi hiyo yenye matatizo ya Caribbean kwa uchaguzi…
Chanjo Laki 5 za Mpox kutolewa kwa ajili ya Afrika
Kundi la ufadhili wa chanjo ulimwenguni, Gavi, limesema kuwa litanunua dozi 500,000 za Mpox kutoka kampuni ya Bavarian Nordic kwa ajili ya kusaidia kupambana na mripuko wa ugonjwa wa homa ya nyani…
Korea Kaskazini imefanyia majaribio ya kombora jipya la balestiki,latajwa kuwa hatari zaidi
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesimamia majaribio yaliyofaulu ya aina mbili za makombora ya masafa marefu, ikiwa ni pamoja na moja yenye kichwa cha "kivita kikubwa zaidi" na…
Marekani inasema wadukuzi wa Iran walituma barua pepe za kampeni za Trump zilizoibiwa na timu ya Biden
Wadukuzi wa Iran walituma barua pepe zenye nyenzo zilizoibwa kutoka kwenye kampeni ya Donald Trump kwa watu waliohusika katika kampeni ya kuchaguliwa tena kwa Rais Joe Biden wakati huo, ikiwa…
Rwanda imezindua awamu ya majaribio ya matumizi ya roboti katika mtaala wa kitaifa
Serikali ya Rwanda imezindua awamu ya majaribio ya kuweka roboti katika mtaala wa kitaifa. Mpango huu, unaoanza mwaka huu wa masomo, unalenga kuwapa wanafunzi ujuzi zaidi, kuhimiza matumizi ya vitendo…
Hofu ya vita vikali wakati milipuko mipya ya vifaa huko Lebanon ikiua 20, na kujeruhi 450
Wimbi la pili la milipuko ya vifaa liliua watu 20 na kujeruhi wengine zaidi ya 450 siku ya Jumatano katika ngome za Hezbollah nchini Lebanon, maafisa walisema, na kuzua hofu…
Somalia imemkamata mwanachama wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la al-Shabaab
Mamlaka nchini Somalia imemkamata mwanachama wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la al-Shabaab, wizara ya ulinzi ya nchi hiyo ilisema Jumatano. Somalia ilitoa tangazo hilo Jumatano kwamba imemkamata…
Rabia ateta na Naibu Mtendaji Mkuu wa taasisi ya Common Wealth Foundation jijini London
Tarehe 18 Septemba, 2024 Jiji London Uingereza, Ndugu Rabia Abdalla Hamid, Katibu wa NEC Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa amefanya mazungumzo na Bw. Shem Ochola, Naibu Mtendaji Mkuu…