Mwigulu aagiza mambo 11 mkutano wa wataalam ustawi wa jamii
Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amewataka Wataalam wa Ustawi wa Jamii mchini kwa kushirikiana na wadau kuandaa na kutekeleza mkakati wa kuwaondoa Watoto wanaoishi na kufanya Kazi Mitaani ngazi…
Picha :Mndeme afanya uhamasisahi wa matumizi ya nishati safi ya kupikia Rukwa
NAIBU Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Christina Mndeme ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Katavi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan juu ya kuhamasisha matumizi ya Nishati…
REA yatumia zaidi ya Bil. 100 kutekeleza miradi ya umeme vijijini Kigoma
Katika kuendelea kuboresha maisha ya wananchi Vijijini, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetumia zaidi ya Shilingi Bilioni 100 kutekeleza miradi ya kupeleka umeme vijijini katika Mkoa wa Kigoma. Hayo yamebainishwa…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 19, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 19, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 19, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 19, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
REA yamtambulisha mkandarasi wa kutekeleza mradi wa zaidi ya Bilioni 14 mkoani Kagera
Wakala wa nishati Vijijini (REA) kupitia Meneja wake wa Kanda ya Ziwa Mhandisi Erenest Makale wamemtambulisha mkandarasi kwa ajili ya kuanza zoezi la kusambaza umeme kwenye vitongoji 135 vya Mkoa…
Rais samia amedhamiria kuifungua Kigoma – Dkt. Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko amesema Serikali inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuipatia Kigoma miradi ya maendeleo na fursa mbalimbali ili…
UDSM kuendeleza ujenzi wa majengo kampasi mpya mkoani Kagera kupitia mradi wa HEET
CHUO Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kimeendelea kutekeleza mradi wao ujenzi wa Kampasi mpya inayojengwa Bukoba mkoani Kagera. Ujenzi…
Uchunguzi waendelea na uchunguzi wa jaribio la mauaji ya Trump
Wachunguzi wa Marekani wanapekuwa akaunti za mitandao ya kijamii na matangazo mengine ya mshukiwa wa jaribio la Jumapili la mauaji ya Rais wa zamani Donald Trump, wakijaribu kubaini nia na…
Hansi Flick adai kujipanga vyema, kikosi cha kwanza cha Barcelona dhidi ya Monaco – ripoti
Meneja wa Barcelona Hansi Flick anajiandaa kwa mechi yake ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa akiwa na kikosi kilichoandaliwa kwa uangalifu kwa ajili ya mechi ya Alhamisi dhidi ya AS…