Uchunguzi waendelea na uchunguzi wa jaribio la mauaji ya Trump
Wachunguzi wa Marekani wanapekuwa akaunti za mitandao ya kijamii na matangazo mengine ya mshukiwa wa jaribio la Jumapili la mauaji ya Rais wa zamani Donald Trump, wakijaribu kubaini nia na…
Hansi Flick adai kujipanga vyema, kikosi cha kwanza cha Barcelona dhidi ya Monaco – ripoti
Meneja wa Barcelona Hansi Flick anajiandaa kwa mechi yake ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa akiwa na kikosi kilichoandaliwa kwa uangalifu kwa ajili ya mechi ya Alhamisi dhidi ya AS…
Mtu 1 hufariki kutokana na kuumwa na nyoka kila baada ya dakika 4-6 : WHO
Shirika la Afya Duniani (WHO) siku ya Jumanne lilisema kuwa mtu mmoja hufa kutokana na kuumwa na nyoka kila baada ya dakika nne hadi sita, na zaidi ya theluthi moja…
Barcelona inamatumaini ya kumuongezea mkataba Pedri hadi 2026
Pedri amekuwa mmoja wa wachezaji bora wa FC Barcelona tangu kuanza kwa msimu mpya, akifanya vyema chini ya Hansi Flick na kuisaidia timu kupata ushindi Mchezaji huyo mwenye umri wa…
Villa yamuunga mkono Lamine Yamal kushinda tuzo ya Golden Boy 2024
Akizungumza kwenye vyombo vya habari mapema leo, supastaa wa zamani wa Barcelona na Uhispania David Villa amemuunga mkono Lamine Yamal kushinda tuzo ya Golden Boy kwa 2024. Yamal, 17, amejidhihirisha…
AEK Athens yafikia makubaliano na Martial
Anthony Martial anakaribia kusaini AEK Athens kwa uhamisho wa bure, huku klabu hiyo ikiandika kwenye akaunti yao ya Twitter kwamba atawasili uwanja wa ndege saa 20.40 usiku wa leo. Martial…
Vilabu viwili vya Ligi kuu vinafuatilia hali ya kiungo wa Bayern Munich
Manchester United na West Ham United wanaripotiwa kumtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29, na vilabu vingine huenda vikajitokeza Januari. Goretzka ameshindwa kupata nafasi ya kuanzia kwenye kikosi cha…
Kampeni za uchaguzi kwa njia ya mtandao na kuzimwa kwa mitandao
Wadau na wanaharakati wa masuala ya haki za kimtandao hivi sasa wanawasiwasi kwamba Watanzania wanapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2025 Serikali huenda ikachukua hatua za kudhibiti matumizi ya intaneti,…
Waasi wa CODECO watekeleza mauaji ya watu 20 mkoani Ituri
Watu 20 wamewauwa, nyumba kuchomwa moto na mali kuporwa katika mashambulio mawili ya waasi wa CODECO kwenye maeneo ya Fataki na Jina, mkoa wa Ituri, mashariki mwa nchi ya DRC.…
Sean ‘Diddy’ Combs anyimwa dhamana katika kesi ya masuala ya ngono
Mkali wa Hip-hop Sean "Diddy" Combs amenyimwa dhamana baada ya kukana hatia katika kesi ya ulanguzi wa ngono. Jaji wa shirikisho la New York alimweka rumande mwanamuziki huyo baada ya…