Geita DC, yatangaza maeneo ya kiutawala katika vijiji na vitongoji
Halmashauri ya wilaya ya Geita imetangaza rasmi Maeneo ya Kiutawala Majina ya Mipaka ya Vijiji na Vitongoji katika majimbo mawili ya uchaguzi likiwemo Jimbo la Busanda na Jimbo la Geita…
Kundi la Hezbollah laapa kulipiza kisasi kwa Israel kwa vifo vya watu 10 hivi punde
Kundi la Hezbollah la Lebanon liliahidi kulipiza kisasi baada ya kuilaumu Israel kwa kulipua vifaa vilivyo uwa takriban watu 10 na kuwajeruhi wengine 2,750, wakiwemo wapiganaji wengi wa kundi hilo…
Mashindano KNK Cup 2024 yahitimishwa Bukombe
Mashindano ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe .Dkt. Doto Biteko ambapo timu 246 kutoka…
Watu 10 wamejeruhiwa na zaidi ya 2,750 kujeruhiwa baada ya mlipuko katika mji mkuu wa Syria: Ripoti
Takriban watu tisa wameuawa na wengine zaidi ya 2,750, wakiwemo wanamgambo wa Hezbollah na matabibu, wamejeruhiwa wakati vifaa vyao vya kupeperusha ujumbe, Pager vilipolipuka kote Lebanon, vyombo vya habari na…
Kapinga afungua kikao kazi TPDC
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga leo Septemba 17, 2024 amefungua kikao kazi cha Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Jijini Mwanza. Lengo la kikao hicho ni…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 18, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 18, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 18, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 18, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Aweso aongoza kikao kazi cha wadau wa sekta ya maji Ruvuma
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameongoza kikao cha wadau wa Sekta ya Maji Mkoa wa Ruvuma wilayani Songea leo tarehe 17 Septemba 2024. Kikao hicho pia kimeudhuriwa na Mbunge…
Ujenzi wa daraja la JPM mbioni kukamilika, bado mita 2 daraja kuunganishwa: Bashungwa
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa Kilometa tatu linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya…
Rais Samia atoa wito wa siasa safi, akemea mikakati ya kuhatarisha amani ya Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ni kiongozi madhubuti anayeweka maslahi ya Tanzania mbele. Akizungumza kwenye hafla ya kufunga Mkutano wa Mwaka wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la…