Elon Musk kuwa trilionea wa kwanza duniani ifikapo 2027
Elon Musk yuko kwenye kasi ya kuwa trilionea wa kwanza duniani ifikapo 2027, kulingana na ripoti mpya kutoka kwa kundi linalofuatilia utajiri. Ugunduzi wa Informa Connect Academy kuhusu bosi wa…
Rais Samia anaamini katika ushirikiano na viongozi wa dini -Dkt. Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali ipo tayari kushirikiana na viongozi wa dini ili kuwawezesha kutimiza majukumu yao ya kitume kwa maendeleo ya…
Viongozi wanawake wa vyama vya siasa walaani kauli zizohatarisha usalama wa nchi.
Viongozi Wanawake wa Vyama vya siasa wamezungumza na waandishi habari juu ya kauli zinazotolewa na baadhi ya watu zenye nia hovu na kuhatarisha usalama wa nchi wakati Dunia ikijiandaa kuadhimisha…
OSHA yawawezesha wachimbaji, wapondaji kokoto Dar es Salaam
Wajasiriamali wadogo wapatao 500 wanaojihusisha na uchimbaji na uchakataji kokoto Jijini Dar es Salaam wamewezeshwa vifaa kinga na kupatiwa mafunzo ya usalama na afya ili kujiepusha na ajali, magonjwa na…
Rais wa CAF afurahishwa na maandalizi ya Kenya ya AFCON 2027
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Patrice Motsepe alishukuru maandalizi ya awali ya Kenya kama mwandaaji mwenza wa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Motsepe alitembelea…
Sudan yaripoti zaidi ya wagonjwa 9,500 wa kipindupindu, vifo 315
Wizara ya Afya ya Sudan ilisema Jumatatu kwamba nchi hiyo imerikodi wagonjwa 9,533 wa kipindupindu, pamoja na vifo 315. Katika taarifa yake wizara hiyo ilisema kwamba kiwango cha maambukizi kinachoongezeka…
Cesc Fabregas ataka kufukuzwa anapoishi huko Uswizi kisa mzozo wa kutolipa kodi
Mchezaji nyota wa zamani wa klabu ya soka ya Arsenal na Chelsea na familia yake wanakabiliwa na kufukuzwa katika nyumba yao iliyoko Bissone, Uswizi kutokana na mzozo wa kutolipwa kodi.…
Rais Mwinyi: Zanzibar kuanzisha mfumo wezeshi kwenye biashara
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar ina kila sababu ya kuanzisha mfumo wezeshi kwenye biashara zinazochipukia zenye uwezo wa kukua…
Inter Milan yatangaza mkataba mpya wa Asllani
Kiungo Kristjan Asllani ameongeza mkataba wake na Inter Milan hadi mwisho wa Juni 2028. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Albania alijiunga na Nerazzurri kutoka Empoli majira ya joto ya 2022.…
AEK yafikia makubaliano na mshambuliaji wa zamani wa Man Utd, Martial
Mshambulizi wa zamani wa Manchester United Anthony Martial yuko mbioni kuhamia Ugiriki. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 amekuwa akitafuta timu mpya tangu alipoondoka United kama mchezaji huru msimu…