Takriban Wapalestina 41,252 waliuawa huko Gaza tangu Oktoba 7: Wizara
Idadi ya vifo kutokana na uvamizi wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza imeongezeka hadi 41,252 na majeruhi 95,497 tangu Oktoba 7, kulingana na Wizara ya Afya ya Gaza. Wizara hiyo…
Trump arejea kwenye kampeni baada ya jaribio la kumuua
Rais wa zamani wa Marekani na mgombea wa chama cha Republican Donald Trump atarejea kwenye kampeni Jumanne kufuatia kile kinachoonekana kuwa jaribio la pili la maisha yake katika kuelekea uchaguzi…
Mwanaume anayetuhumiwa kwa kuwaajiri wanaume kumbaka mkewe adai kuwa yeye ‘mbakaji’
Mwanaume kutokea Ufaransa mwenye umri wa miaka 71 anayeshtakiwa kwa kumuwekea mke wake dawa za kulevya ili yeye na watu wengi wasiowafahamu waweze kumshambulia kingono aliambia mahakama Jumanne kuwa yeye…
Mhe Batilda Burian apokea zawadi kutoka kwa mbunifu wa kimataifa Tanga
Mhe Batilda Buriani Mkuu wa mkoa wa Tanga amepokea Zawadi kutoka kwa Mbunifu wa Kimataifa pichichiturbans zawadi ya vazi la ubunifu lililonakshiwa kwa kanga za kale. Mkuu huyo wa mkoa…
Putin aagiza ongezeko la tatu la idadi ya wanajeshi wa Urusi tangu uvamizi wa Ukraine
Rais wa Urusi Vladmir Putin ameliamuru jeshi la nchi hiyo kuongeza idadi ya wanajeshi wake kwa 180,000 hadi kufikia jumla ya wanajeshi milioni 1.5 hatua ambayo ingelifanya jeshi la Urusi…
Kimbunga Yagi chaua takriban watu 236 Myanmar
Takriban watu 236 wamethibitishwa kufariki baada ya kimbunga Yagi kusababisha mafuriko makubwa katika mikoa kadhaa ya Myanmar. Takriban watu 77 hawajulikani waliko, shirika la serikali la Global New Light la…
Netanyahu apanua malengo ya kivita dhidi ya Gaza
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema malengo yake ya vita huko Gaza yamepanuka na kujumuisha kuwawezesha Waisraeli waliokimbia maeneo karibu na mpaka wa Lebanon kurejea makwao. Kumekuwa na karibu…
Mshukiwa wa jaribio la pili la mauaji ya Trump, ashtakiwa kwa uhalifu wa kutumia bunduki
Siku moja baada ya jaribio la pili la kutaka kumuua rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, mshukiwa Ryan Routh ameshtakiwa na mahakama ya shirikisho kwa uhalifu wa kutumia bunduki.…
BAKWATA yataka Tume Huru kuchunguza utekaji na mauaji
BARAZA la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limeshauri serikali kuunda tume huru kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa matukio ya watu kutekwa na kuuawa yanayoripotiwa nchini. Kukiwa na rai hiyo ya BAKWATA,…
Mkuu wa Umoja wa Mataifa alaani ‘adhabu ya pamoja’ kwa Wapalestina
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameliambia shirika la habari la AFP kwamba hakuna kinachohalalisha adhabu ya pamoja ya Israel kwa watu wa Gaza kwani wanavumilia mateso "isiyofikirika".…