Jeba aandaliwa dua maalumu Zanzibar.
MDAU wa Soka Swaleh Ahmed (@swaleh_mandieta ) ameandaa dua maalumu ya kumuombea mchezaji wa zamani wa Azam FC, SIMBA SC, Mtibwa Sugar , Chuoni Fc ya Zanzibar pamoja na timu…
BREAKING: Rapper P Diddy akamatwa New York , nyumba zake zazingirwa, ni kisa kumpiga Ex wake?, mwanasheria aongea
Rapper maarufu Nchini Marekani ambaye pia ni Producer na Mfanyabiashara Sean ‘Diddy’ Combs ameripotiwa kukamatwa na Mamlaka Nchini humo Jijini New York akikabiliwa na mashtaka kadhaa ambayo bado hajawekwa wazi.…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 17, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 17, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 17, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 17, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Dani Olmo nje ya uwanja kwa wiki 5 kutokana na jeraha la misuli
Mshambuliaji wa Barcelona, Dani Olmo, atakosa kucheza kwa takriban wiki tano baada ya kuumia misuli ya paja la kulia, klabu hito ya LaLiga ilitangaza leo Jumatatu. Mchezaji huyo mwenye umri…
Kesi ya Man City kusikilizwa leo rasmi
Jumatatu hii, maamuzi ya mwisho kuhusu mashtaka 115 yaliyowekwa dhidi ya Manchester City kwa madai ya kukiuka kanuni za kifedha za Premier League. Taarifa hizi zilitolewa baada ya uchunguzi wa…
Kimbunga Yagi chaua watu 100,na kusababisha maafa makubwa barani Asia
Kimbunga Yagi kimeua zaidi ya watu 100 Nchini Myanmar huku mafuriko makubwa yakikumba Nchi kadhaa Barani Ulaya, na kusababisha vifo na uharibifu wa mali. Zaw Min Tun, Msemaji wa serikali…
Mwanamke ahukumiwa kwa kumuambukiza jirani yake COVID-19 kimakisudi Australia
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 54 Nchini Austria amehukumiwa kifungo baada ya kupatikana na hatia ya kumuambukiza jirani yake virusi vya COVID-19, na kusababisha kifo chake, huku hii ikiwa…
IPOA yawaita maafisa 50 wa polisi na makamanda juu ya Maandamano ya Gen Z
Zaidi ya maafisa wa polisi 50 wameitwa na Mamlaka Huru ya Kusimamia Polisi (IPOA) kwa utovu wa nidhamu wakati wa maandamano ya Azimio ya 2023 na maandamano ya Gen-Z ya…
Mikel Arteta atoa Update ya majeraha ya Bukayo Saka baada ya mchezo wao dhidi ya Tottenham
Mikel Arteta alisema Bukayo Saka hakuweza kumaliza derby ya Jumapili ya kaskazini mwa London, na kuzua mashaka juu ya usawa wa winga huyo kabla ya wiki kubwa. Nafasi ya winga…