Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 1, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 1, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Rais Samia alipongeza jukwaa la CEO Roundtable, Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inathamini mchango wa jukwaa la Wakurugenzi Watendaji (CEO Roundtable -CEOrt) katika kuchangia jitihada za kujenga uchumi endelevu na unaostawi hapa nchini. Akizungumza kwa niaba…
Malkia wa nguvu 9 wapata tuzo Zanzibar
Tuzo za Malkia wa Nguvu zinazoendeshwa na Clouds Media Group zimehitimishwa usiku wa Novemba 29 2024 Zanzibar kwa Malkia wa nguvu tisa kupewa tuzo kwenye sekta mbalimbali wanazohudumia. Mbele ya…
Wanaume wa ZNZ waruhusuni wanawake wang’ae kwenye tuzo
Mhandisi Zena Said ambae ni katibu kiongozi serikali ya Zanzibar amewataka wanaume wa Zanzibar kuwapatia fursa wake zao ili waonyeshe makubwa wanayoyafanya kupitia majukwaa, Katibu Kiongozi ameyasema hayo maara baada…
Mpambe ajiua kisa mgombea wake kukosa ushindi
Justine Magembe(30) kada wa CCM mkazi wa Ikomwa Manispaa ya Tabora anadaiwa kujiua kwa kunywa Sumu baada ya mgombea aliyetarajia kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa, Vijiji na vitongoji kushindwa…
Kamati ya Amani mkoa wa Tanga yapongeza Serikali uchaguzi Serikali za Mitaa 2024 kufanyika kwa amani
Viongozi wa dini na wanasiasa wametoa shukrani kwa juhudi za viongozi wa mkoa wa Tanga pamoja na wananchi katika kuhakikisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 unakuwa wa haki…
CCM yawaonya wenyeviti watakaotumia madaraka yao kuumiza wananchi
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe kimewataka wenyeviti wa serikali za mitaa na vijiji waliochaguliwa kwenda kusimamia shughuli za maendeleo na miradi inayoendelea kwenye maeneo yao kwa kufuata utaratibu,sheria…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 30, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 30, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 30, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 30, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Waziri Masauni asisitiza nyumba za ibada kutumika kuhamasisha amani
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesisitiza watanzania kuendelea kudumisha amani sambamba na kutumia nyumba za ibada kuhamasisha na kutoa mafundisho ya dini yatakayo dumisha amani.…