Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Notification Show More
Latest News
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Habari za Mastaa

Hivi ndivyo Urban Fresh Jitambue ilivyokuwa

Tamasha la Urban Fresh Jitambue lililokuwa na moto usemao Jiamini U Can Do It  limemalizika kwa wanafunzi mbalimbali kupata chakula cha ubongo kutoka kwa wasemaji mbali mbali waliokuwepo siku ya…

January 4, 2014
Mix

Kuhusu hali ya Michael Schumacher,soma hapa!!!

Meneja wa bingwa zamani wa mashindano ya Formula One Michael Schumacher amewashutumu baadhi ya madaktari wanamtibu mteja wake kwa kile alichokiita ripoti isiyi ya kweli juu ya afya ya dereva…

January 4, 2014
Sports

Robert Lewandowski asaini kuichezea Bayern Munich.

Klabu ya Bayern Munich hii leo imethibitisha kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Poland Robert Lewandowski . Lewandowski amesaini mkataba wa miaka mitano ambapo ataanza kuichezea Bayern Munich mwezi julai mwaka…

January 4, 2014
Sports

Matokeo ya Kombe la FA kwa mechi za leo.

Mzunguko wa nne wa mashindano ya kombe la chama cha soka nchini England maarufu kama FA Cup umeanza hii leo kwa michezo kadhaa iliyopigwa kwenye viwanja mbalimbali nchini humo .…

January 4, 2014
Mix

Unataka kujua takwimu za Ajali za Treni Tanzania mwaka 2013? ziko hapa

Kamanda Saada Haji ambae ni kamanda wa kikosi cha reli Tanzania ameanza kwa kusema ‘jumla ya ajali 79 zinazohusisha Treni zilitokea mwaka 2013 katika mikoa tofauti ambapo hata hivyo ajali…

January 4, 2014
Habari za Mastaa

Unaweza kujishindia laki tatu kutoka kwa Ommy Dimpoz kwa kufanya hivi.

Unaweza kujishindia shilingi laki tatu  kwa kutuma picha kali yenye pozi la ukweli kwenda kwa Ommy Dimpoz. Kwenye instagram Omari Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz anaendesha shindano la picha yenye…

January 4, 2014
Habari za Mastaa

Ludacris acheza faulo nje ya uhusiano wake.

Licha ya kuwa kwenye uhusiano ya muda mrefu na mchumba wake Eudoxie, Ludacris bado amecheza faulo nje ya uhusiano wao.

January 4, 2014
MixStori Pekee

Tanga bwana!! haya ni baadhi ya majina ya sehemu zake.

Ni baadhi ya majina ya sehemu ambazo zipo ndani ya mkoa wa Tanga (Clouds FM 96.0) ambapo hili la juu liitwalo Mkanyageni mwanzoni nilijiuliza maswali mengi sana na nikahisi vitu…

January 4, 2014
Stori Pekee

hii ya bangi kuruhusiwa kisheria, cheki watu kwenye foleni kuinunua na maduka yenyewe yani.

Hawa hapa juu ni baadhi tu ya wateja waliojinunulia bangi yao toka ipitishwe kisheria huko Colorado Marekani ambapo hii picha walikua wakiukaribisha mwaka mpya 2014. Normal 0 false…

January 4, 2014
Habari za MastaaNyumba/ MijumbaStori Pekee

Ule msikiti anaojenga mwigizaji Mzee Majuto umefikia hapa sasa hivi.

Pamoja na kwamba alikiri kuingiza mamilioni ya shilingi kila mwezi kutokana na kazi yake ya Uigizaji, Mzee Majuto aliahidi kujenga Msikiti kwenye sehemu ya kiwanja chake nyumbani kwake 96.0 Tanga.…

January 4, 2014
1 2 … 4,873 4,874 4,875 4,876 4,877 4,878 4,879
- Advertisement -

Latest News

PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
Sports August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?