Watu na Rekodi zao… Huyu kavuta Ndege kwa kutumia masikio yake tu !! (Pichaz+Video)
Johnny Strange kutoka Uingereza, umri wake ni miaka 26, jina lake linaandikwa kwa wino mzito kwenye Kitabu cha Kumbukumbu kubwa Duniani, Guinness World Records baada ya kuandika Rekodi ambayo watu wengi…
Baada ya kushinda pambano la 49, Floyd Mayweather anaachana na mchezo wa Ngumi??
Bondia Floyd Mayweather ni jamaa mwenye rekodi nzuri ambayo ameijenga kwa kipindi chote cha miaka yote 19 aliyoitumia kwenye mchezo wa ngumi..Usiku wa kuamkia leo September 13 2015 kaiendeleza rekodi…
Pichaz za Birthday Party ya Ommy Dimpoz wakiwemo na mastaa mbalimbali
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa msanii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ambaye usiku wa Sept 13,2015 alishea siku yake ya kuzaliwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa wengi kutoka…
Headlines za #UchaguziMkuu2015, kazi ya NEC imefikia hapa mpaka sasahivi..
October 25 2015 itaandikwa historia nyingine kubwa Tanzania kwenye Siasa ambapo utafanyika Uchaguzi Mkuu wa kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais wa Tanzania. Nimeipata hii stori kutoka MICHUZI BLOG, Katibu Mkuu ofisi ya…
Taarifa kuhusu Watanzania walioko Mecca Saudi Arabia baada ya ajali kutokea Msikiti Mkuu..
Moja ya Habari zilizogusa Vichwa vingi vya Habari Duniani September 12 2015 ilikuwa Breaking News ya kuanguka kwa winch ya kujengea ambayo ilikuwa inatumika kwenye ujenzi wa eneo la pembeni…
Magazeti ya Tanzania Septemba 13, 2015.. Michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Septemba 13, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Michezo na Hardnews, zote ziko…
Matokeo ya Man Utd vs Liverpool nimekuwekea hapa
Ule mtanange uliokuwa unasubiriwa kwa hamu baina ya wapinzania wa jadi wa ligi kuu ya Uingereza, vilabu vya Manchester United dhidi ya Liverpool umepigwa usiku huu. Mchezo huo uliopigwa…
Hiki ndicho kilichowakuta Espanyol walipocheza na Real Madrid leo
Ligi kuu ya Uhispania imeendelea leo baada ya mapumziko ya kupisha mechi za kimataifa kumalizika, Real Madrid walisafiri mpaka jijini Barcelona kwenda kucheza na Espanyol. Mchezo uliopigwa katika dimba…
Nimekusogezea matokeo ya Arsenal vs Stoke na Man City vs Crystal Palace
Baada ya mchezo wa mchana kati ya Chelsea vs Everton, Barclays Premier League imeendelea kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti nchini Uingereza. Arsenal wakiwa nyumbani waliikaribisha timu ngumu ya Stoke…
Tayari ninayo matokeo ya mechi ya African Sports Vs Simba (+Pichaz)
September 12 ndio siku ambayo pazia la Ligi Kuu Tanzania bara limefunguliwa kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, mchezo uliyokuwa umeteka hisia za watu wengi ni mechi kati…