Iran huenda ikaelekea kwenye umiliki wa silaha zake za nyuklia
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alisema jana kwamba Tehran huenda ikaelekea kwenye umiliki wa silaha zake za nyuklia ikiwa nchi za Magharibi zitaendelea na tishio la…
Visa 221 vipya vya kipindupindu vyagundulika nchini Sudan
Baadhi ya visa vipya 221 vya kipindupindu vimerekodiwa nchini Sudan, Wizara ya Afya iliripoti jana, na kufanya jumla ya maambukizi kufikia zaidi ya 43,490, ikiwa ni pamoja na vifo 1,187,…
Wajasiriamali Afrika wapigwa msasa Arusha,Watakiwa kuingia kwenye utalii
Wajasiriamali Wadogo na wa Kati Afrika wamehimizwa kuwekeza Nchini Tanzania hususani sekta ya Utalii kwani ndio sekta yenye uhakika wa kipato. Mbali ya kuwahimiza kuwekeza Nchini pia Wajasiliamali hao Wanawake…
BUWASA yakabidhi site kwa mkandarasi rasmi kuanza kazi
Mamlaka ya Majisafi na usafi wa mazingira Bukoba (BUWASA) imekabidhi site kwa mkandarasi ikiwa ni kiashiria cha kuanza rasmi kazi ya uboreshaji wa miundombinu ya maji katika manispaa ya Bukoba.…
Wamiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo kizimbani
Wamiliki wa jengo la ghorofa Kariakoo ambalo liliporomoka na kusababisha vifo vya Watu 29, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo November 29,2024 wakikabiliwa na mashtaka 31 ya kuua…
Hojlund ausifia mfumo mpya wa Amorim ndani ya Man U
Rasmus Hojlund aliusifia mtindo wa uchezaji wa Manchester United chini ya meneja aliyeteuliwa hivi karibuni Ruben Amorim nakusema kuwa ulimfaa vyema baada ya mshambuliaji huyo wa Denmark kufunga mara mbili…
FiFA yataja walioteuliwa ‘The Best’ Football Awards 2024
FIFA imetangaza walioteuliwa kuwania Tuzo za ‘The Best’ Football Awards 2024, kuadhimisha wachezaji bora wa mwaka katika soka la wanawake na wanaume katika ngazi za vilabu na kitaifa. Mshindi wa…
‘Bond hii ni tiba ya Matatizo ya Kifedha’- Waziri Mchengerwa,
Ni November 29, 2024 ambapo Benki ya CRDB inazindua SAMIA INFRASTRUCTURE BOND katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City Hall jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa waliozungumza ni Mhe. Mohamed Mchengerwa,…
Wadau wa maji waungane kukabiliana na changamoto za kutoa huduma ya maji.
Naibu waziri wa maji Mhandisi Kundo Mathew ametoa Rai kwa wadau kushirikiana na mamlka za maji pamoja na watendaji wake ili kubuni mbinu mpya zitakazoongeza ufanisi katika kutoa huduma kwa…
Maadhimisho ya miaka 125 ya FC Barcelona
FC Barcelona inasherehekea miaka yake 125 na Novemba 29 bila shaka ni tarehe ya kukumbukwa katika historia ya Barcelona, kama miaka 125 iliyopita, jina la kihistoria la klabu kama Joan…