Unaambiwa hii ndio kadi nyekundu iliyotolewa mapema zaidi Amerika ya kusini
Unaambiwa sekunde ya 24 tu baada ya mchezo kuanza refa wa kimexico Marco Rodríguez aliitumia kadi yake nyekundu kwa kumtoa mchezaji nje ya uwanja. Historia iliandikwa wiki iliyopita katika mchezo wa…
Hii ndio biashara mpya anayoifungua Shilole kwa sasa.
Hit maker wa Nakomaa na Jiji Shilole ame-amplify taarifa za kuhusu kufungua mgahawa wake ambao ameupa jina la wimbo wake mpya uitwao Chuna buzi cafe anatarajia kufungua mgahawa wake wa…
Tazama mkutano wa Drogba na waandishi wa habari kuelekea mechi ya leo usiku dhidi ya Chelsea
Kuelekea mchezo wa raundi ya pili wa hatua ya 16 bora ya kombe la klabu bingwa ya ulaya kati ya Chelsea vs Galatasary, nimekuletea video ya mkutano wa Didier Drogba…
Hii ndio timu mpya atakayoifundisha Villa-Boas baada ya kuondoka Tottenham
Kocha wa kireno aliyewahi kuvifundisha vilabu vya Porto, Chelsea, na Tottenham Andre Villas-Boas amethibtishwa kuwa kocha wa Zenit St Petersburg akimrithi kocha Luciano Spalletti. Kocha wa kiitaliano Spalletti alitimuliwa na klabu hiyo ya Russia wiki…
Ijue hukumu aliyopewa Kanye West baada ya kumshabulia paparazi
Mwaka 2013 kwenye airport ya LAX Kanye West alihusishwa na fujo ambapo alimshambulia paparazi mmoja aliyekuwa akijaribu kumpiga picha Kanye West. Fujo hizi zilinaswa kwenye camera mbalimbali za mapaparazi waliokua…
Umesikia kilichomkuta Belle Nine Mafinga?sikiliza hapa.
Kupitia You heard ya leo March 18 Soud Brown ana-amplify taarifa za kuwekwa mahabusu Belle Nine kisa kikiwa ni kuchukua pesa za show kisha kutotokea kwenye show hiyo ambayo ilikuwa…
Hili ndilo jibu la Haji Ramadhani kwenda kwa Ney wa Mitego.
Haji Ramadhani ni msanii aliyetajwa kwenye line za wimbo wa Salaam zao wa Ney wa Mitego kwenye wimbo ambao baadhi ya mashairi ya wimbo huo yanawataja yeye Haji Ramadhan na…
Kilichoandikwa twitter wakati Jaji Warioba akizungumza kwenye bunge la katiba.
Hii ni sehemu tu ya kilichoandikwa kwenye twitter na Watanzania mbalimbali wakiwemo wabunge Dr. Faustine mbunge wa Kigamboni, Zitto Kabwe wa Kigoma Kaskazini, Naibu waziri January Makamba ambae pia ni…
Sikiliza jinsi Mama wa kambo alivyokuwa akimtesa mtoto huyu,kupitia Hekaheka ya leo.
Baadhi ya mama wa kambo wamekua wakiwatendea vitendo visivyo sawa kwa watoto au mtoto anaemkuta tayari kazaliwa kwa mumewe,sasa hii imetokea Msumbiji baada ya mtoto kushindwa kuvumilia mateso ameamua kuja…
Video ya Russell Simmons akimzungumzia Flaviana Matata
Russell ni mwanzilishi wa lebo kubwa ya muziki wa hiphop duniani ya Def Jam, akiwa ni mfanyabiashara mweusi mwenye mafaniko kwenye biashara mbalimbali ikiwemo ile ya mavazi ya Phat Farm…