Video ya maamuzi waliofanya ZFA kuhusu muamuzi wa pembeni aliyekataa goli la Mtibwa dhidi ya Azam FC …
January 3 ndio siku ambayo Kombe la Mapinduzi lilianza visiwani Zanzibar kwa michezo miwili kupigwa kwa nyakati mbili tofauti katika uwanja Amaan, ila mchezo wa pili wa Kundi B uliozikutanisha timu…
EXLUSIVE: Majibu ya Alikiba kuhusu kolabo yake na Davido
Ni Exclusive Interview Alikiba aliyoifanya na MillardAyo baada ya maswali kuendelea kuwepo kuhusu walipofikia baada ya Davido kuongea kwenye Interview na Millard Ayo July 2014 na kusema single nyingine na…
Hii ndio namba ya Hotel zilizopo Mwanza, vyumba na vitanda je?..
Leo January 05 kwenye Top Storiea za Amplifaya nilikusogezea na hii ya Tanzania kutajwa nafasi ya nane kati ya nchi zinazovutia duniani, naomba nahii isikupite…mtu wako leo nimefanikiwa kuipata idadi…
Cheki pichaz na matokeo ya mchezo wa kukamiana wa Yanga na Azam FC Kombe la Mapinduzi
Bado burudani ya soka ipo Zanzibar kwa kuendelea kuchezwa michezo ya Kombe la Mapinduzi, baada ya kupigwa mchezo wa tatu wa Kundi B mchana wa January 5 kwa kuzikutanisha timu…
Panga lingine limemkuta Mkurugenzi pamoja na maofisa misitu wote..
Siku moja tu baada ya Waziri wa Mwigulu Nchemba kuwasimamisha baadhi ya watumishi kwa ubadhirifu huko Pwani, headlines zimerudi tena katika Wizara ya Maliasili na utalii baada ya Waziri Prof.…
Wakenya wataka Watanzania kufungiwa matumizi ya Instagram!! Na hizi ndio sababu zao…
Wakenya wameanza mwaka wa 2016 kwa kuomba Watanzania waondolewe kwenye mtandaoa wa Instagram, mtandao maarufu wa kijamii! Watumiaji wa mtandao huo kutoka Kenya, wanadai Watanzania wamethibitisha kuwa hawawezi kutumia mtandao…
Cheki pichaz na matokeo ya Mtibwa Sugar walivyowaadhibu wajelajela wa Zanzibar …
Michuano ya Kombe la Mapinduzi iliendelea leo January 5 katika uwanja wa Amaan kama kawaida, mchana wa January 5 ulipigwa mchezo wa tano wa Kombe la Mapinduzi na watatu kwa…
FIFA kwenye headlines nyingine ya kumsimamisha kiongozi wake…
Kamati ya maadili ya FIFA imependekeza katibu mkuu wa shirikisho hilo linalosimamia soka duniani Jerome Valcke asimamishwe kujihusisha na mchezo wa soka kwa miaka tisa. Katibu huyo anadaiwa kutumia vibaya…
Maamuzi mawili kwa leo kutoka Mahakama Kuu Dar kuhusu ishu ya bomoabomoa.. (+Pichaz)
Maamuzi haya yalikuwa yakisubiriwa na wengi Dar es Salaam, na kwa sababu Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam iliahidi kwamba maamuzi yanatoka leo, macho na masikio ya wengi yalielekea…
Rooney katika nafasi nyingine kwenye ubora wake…
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester united Wayne Rooney ametangazwa kuwa mchezaji bora kwa mwaka 2015 kwa mara nyingine. Hii inakuwa mara ya pili staa huyo wa England kuchaguliwa mchezaji bora…