Wakati Man United na Chelsea zikiiwazia saini ya Pep Guardiola, mwenyewe kajiachia zake mbugani Kenya (+Pichaz)
Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola December 29 aliingia kwenye headlines baada ya kutua Kenya kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Christimas na mwaka…
Zimevuja jezi mpya za Man City za msimu wa 2016/2017, rangi yake kuwashangaza wengi, cheki hapa …
Imekuwa ni kawaida kwa vilabu vya soka vya Ulaya ila mwaka kubadili aina ya jezi kwa ajili ya msimu mpya, lengo kubwa la kubadili aina ya jezi huwa inatajwa kuwa…
Hii ndio Laptop iliyovunja rekodi kwa 2016, nyembamba ila yenye ubora wake.. (+Video)
Kampuni ya watengenezaji wa laptop za Lenovo kutoka China wamethibitisha kwamba mwaka 2016 wanakuja kuiandika rekodi mpyampya Duniani. Lenovo wanakuja na aina nyingine ya Laptop kwa mwaka huu 2016, mzigo…
Hizi ndio rekodi 7 za Cristiano Ronaldo alizoweka mwaka 2015 pekee …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo amefanikiwa kuweka rekodi kadhaa kubwa katika soka, ukiachana na kutwaa tuzo ya tatu ya mchezaji bora…
Ukienda bila shati na viatu mgahawani Australia hakuna huduma.. wala hawatanii kwenye hii..!!
Kuna wakati Vyuo vikuu Tanzania ilibidi zianze kutangazwa na kupitishwa kanuni za mavazi ambayo wanafunzi wanatakiwa kuvaa, ule uhuru ulifanya wengine kuvaa mpaka nguo ambazo sio sahihi kuvaa hadharani !!…
Bondia Manny Pacquiao anastaafu ngumi? haya ni majibu yake…
Staa wa ngumi duniani raia wa Ufilipino Manny Pacquiao amesema anatarajia kustaafu mchezo huo April 2016 baada ya kumaliza pambano lake na bondia Timothy Bradley. Bondia huyo ambaye tayari ameshinda…
Cheki na mgahawa wa kichina, huduma zote unaagiza kwa simu.. hakuna mhudumu !! (+Video)
Najua ni mazoea au kawaida kila unapoenda sehemu ya huduma kama mgahawani, hotelini unakutana na wahudumu ambao wanakupokea, wanakukaribisha kwa ukarimu kabisa.. alafu unaanza kuulizwa unahitaji huduma gani ?! China…
Kuelekea Ballon d’Or January 11, haya ni mafanikio ya Ronaldo na Messi kwa mwaka 2015 …
Kuelekea fainali ya tuzo za mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2015 zitakazofanyika Zurich Uswiss January 11 2016, naomba nikusogezee mafanikio ya washindani wa jadi wa tuzo hizo. Kwa mwaka…
Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5
Kila mtu anaanza mwaka na mipango yake, 2016 ndio hii kwenye countdown ya tarehe za January... kama ishu ya kubadili simu iko kwenye mipango yako ya mwanzo mwanzo wa mwaka…
Mashine mpya ya CT Scan, mafuriko yateketeza familia, Bomoabomoa inaendelea…#MAGAZETINI
MWANANCHI Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya ugonjwa huo wanayodai ni uhakika. Kwa kutumia…