Nimekusogezea #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania January 5, 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Future kuanzisha vita na Ciara? Amshambulia kwenye hizi tweets tano!
Imepita mwaka mmoja na nusu toka Ciara na Future wamkaribishe duniani mtoto wao wa kiume 'babyfuture' lakini pengine mwaka huu wa 2016 unaweza kuwa mwaka mgumu kwa staa wa muziki…
Magufuli kazuia Wabunge kwenda nje? kuongezeka pato la TZ? Dawa ya UKIMWI? (+Audio)
Baadhi ya Wabunge wakwama uwanja wa ndege baada ya kukosa kibali cha Bunge na cha Ikulu kuwaruhusu wasafiri nje ya nchi... Watumishi wengine wanne wa TAKUKURU wasimamishwa kwa kusafiri nje…
January 5 2016 magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo >> udaku, hardnews na michezo
Good Morning mtu wangu !! January 05 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea…
Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika …
Baada ya kuwepo na tetesi za muda mrefu kuhusu uongozi wa klabu ya Real Madrid kutoridhishwa na mwenendo wa timu yao January 4, umetangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu…
Video ya magoli ya Simba vs Jamuhuri, Full Time 2-2 Kombe la Mapinduzi Jan 4 2016
Mtu wangu wa nguvu baada ya kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA ya Uganda dhidi ya JKU ya Zanzibar jioni ya January 4. Usiku wake ulipigwa…
Video: Show ya Shilole mbele ya Wazanzibari
Januari 2 2016 staa wa Bongo fleva na Bongo Movie Shilole aliungana na baadhi ya wasanii wenzake akiwemo Linah, Bonge la Nyau, Baba Levo, Bill Nass na wengine kisha kudondosha…
Picha 20 muonekano wa Zanzibari Jan 4 2016
Tayari tumeanza kuzihesabu siku katika mwaka 2016, kuna mengi yamepita na yatabaki kama kumbukumbu na kuna mengine yanakuja na tutaendelea kuyaishi bila utofauti. Hapa nakusogezea muonekano wa Zanzibari na maeneo…
Video ya Lord Eyez alivyotokea show ya WEUSI Arusha usiku wa mwaka mpya !
Ni kitambo hatujamuona Lord Eyez kwenye stage na WEUSI wenzake, sasa hii imetokea nyumbani kwao Arusha usiku wa kuamkia mwaka mpya 2016 baada ya Joh Makini, G Nako na Nikki wa II kutangaza…
Haya ndio matokeo ya Simba dhidi ya Jamuhuri kutoka uwanja wa Amaan Zenji …
Bado michuano ya Kombe la Mapinduzi inaendelea visiwani Zanzibar, baada ya jioni ya January 4 kupigwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA ya Uganda dhidi ya JKU…