Msikilize Mbwiga leo February 05
Zitumie dakika chache hizi kumsikiliza Mbwiga wa Mbwiguke leo February 05 akitoa udambwi dambwi wake ambao siku zote huusisha mpira wa Miguu sikiliza kupitia 88.5 Clouds Fm Masasi. Bonyeza play…
Kutana na kiduku kipya cha Super Mario Balotelli
Mario Balotelli mwenye umri wa miaka 23 ni mshambuliaji kwenye kikosi cha AC Milan na timu ya taifa ya Italy ambae amekua akitokelezea kwenye headlines mara kwa mara kutokana na…
Matokeo ya Simba v/s Mtibwa Sugar ya Morogoro yapo hapa.
Mechi kati ya Mtibwa Sugar ya Morogoro na Simba ilimalizika kwa matokeo kuwa 1-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa jioni ya February 05 kwenye Uwanja Jamuhuri Morogoro (88.5…
Umesikia Hekaheka ya leo kuhusu baba anayefanana na mtoto asiye wake.
Mitaani ndiko kunakotokea mambo mengi ya kuchekesha kuelimisha na kufundisha pia,hii Hekaheka inamhusisha mzazi mmoja aliyejitolea kumlea mtoto ambaye si mtoto wake wa damu lakini wanafanana sana,kiasi majirani wamemtilia shaka…
“Kwanini niliikataa Real Madrid na kujiunga na Manchester City
Ni mmoja wa washambuliaji wanne wanaounda safu kali ya ushambuliaji ya klabu ya Manchester City ambayo mpaka sasa imeshafunga mabao zaidi ya 100 katika michuano inayoshiriki, Stevan Jovetic mshambuliaji wa…
Alichokisema Wema Sepetu kuhusu yule dada anaesemakana kutoka na aliyekua Boyfriend wake.
Wiki kadhaa zimepita sasa tangu kutangazwa kuwa Wema kanyang’anywa kila kitu na mtu anaesemekana kuwa alikua mpenzi wake ambae kwa maelezo inasemekana yeye ndiye aliyenunua vitu hivyo,baada ya hapo zikapita…
Unataka kujua nyimbo zinazosumbua Club kwa sasa?hizi hapa.
Huu ni mtiririko wa nyimbo zinazosumbua kwa sasa kwenye Club mbalimbali ikiwemo New Maisha Club chini ya Extreme Djs,hapa pata nafasi ya kuzifahamu nyimbo hizi. 10.Ya moto- 09.Sugua Gaga-Shaa 08.Number…
“PSG ifungiwe kwa matumizi mabaya ya fedha”.
Matumizi makubwa ya fedha katika usajili ya klabu ya mabingwa wa Ufaransa Paris Saint Germain yameonekana kumtisha mwenyekiti wa mabingwa wa ulaya Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge ambaye ameliambia shirikisho la soka…
Muda huu unaweza kuisoma post hii ya January Makamba kutoka facebook.
Sina hofu ya kupoteza kiti cha Ubunge wala kwenda mahakamani ili
Chris Brown na Miley Cyrus waipa shavu Kenya
Obama, Rupita Nyong’o na wanariadha mbalimbali wameipa jina kubwa Kenya kwenye nchi mbalimbali duniani na kuendelea kujulikana na zaidi. Chris Brown anamiliki clothing line ambayo inaitwa Black Pyramid na ameshatoa…