Mama Samia nae ameanza kazi, leo kaanza na haya baada ya kupita Geita.
Ripoti iliyonifikia nikutokea Mkoa wa Geita, Makamu wa rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan aliwasili Geita jioni ya leo na akakutana na uongozi wa mkoa wa Geita, Inshu ni…
Mabibi na mabwana… imeletwa kwenu video mpya ya MwanaFA ‘asanteni kwa kuja’
Audio iliachiwa toka December 2015 ila leo kazi ni kwetu kuitazama video.... imefanyika Afrika Kusini, ndiyo hii hapa chini unaweza kuitazama kisha tuachie comment yako FA akipita ajue watu wake…
Uthibitisho wa ajali ya msaidizi wa IGP Mangu pamoja na familia yake.. (+Audio) #RIP
Huenda bado haijakufikia taarifa kuhusu ajali ya Askari mmoja ambaye ni msaidizi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Ernest Mangu, kilichonifikia ni taarifa kuhusu mazingira ya tukio la ajali…
Mengine kutoka Hospitali ya Muhimbili kuhusu mashine za CT Scan..
Agizo la Rais Magufuli la kupatikana kwa mashine mpya ya CT Scan katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili limeonekana kuzaa matunda baada ya Serikali kununua mashine mpya ambayo imegharimu zaidi…
Matokeo ya mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA dhidi ya JKU, kabla ya Simba kushuka dimbani (+Pichaz)
Jumatatu ya January 4 ni siku ambayo Kombe la Mapinduzi liliendelea tena kwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kuchezwa katika uwanja wa Amani Zanzibar. Huu ulikuwa ni mchezo wa…
Headlines baada ya headlines..panga lingine limemkuta Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela
Naibu Waziri wa Tamisemi Suleiman Jaffo amemsimamisha kazi kwa muda Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza John Wanga. Hatua ya Jaffo imekuja ili kupisha uchunguzi wa uhalali wa fedha…
Matatu kutoka Ikulu kwa Rais Magufuli leo January 4…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wanne Ikulu, Dar es salaam. Taarifa kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano…
Unayo nafasi ya kuitazama hapa video mpya ya Peter Msechu ‘Malava’
Staa wa Bongofleva ambaye aliwahi kukiri kwamba hana uwezo mkubwa wa kuandika ngoma ila kwenye kuimba ni balaa.., Peter Msechu anayofuraha kutukutanisha na video yake mpya ya 'Malava' hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=YGc6qWyzkLo…
Panga la Mwigulu Nchemba limewakuta watumishi wengine Mkoa wa Pwani leo !!
Jumamosi ilikuwa na stori yenye kichwa cha habari cha ziara za Mawaziri watatu wa Rais Magufuli, hapo alikuwepo Mwigulu Nchemba, Dk. Hamisi Kigwangalla na George Simbachawene walifanya ziara katika soko la…
Hii ni mipango mingine ya meneja wa Chelsea Guus Hiddink kwa klabu yake…
Pamoja na mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa kwa mara nyingine lakini kocha wao mpya Guus Hiddink ana mipango mingine ya ushindi. Baada…