Mipango ya Madee 2015 ikoje? Shilole na tattoo nyingine? Harmonize je? #255 (+Audio)
Ni January 2016 tarehe zimeanza kusomeka mdogomdogo mtu wangu na mwaka ndio umeanza kihivyo yani !! Msanii kutoka Tip Top Connection, Madee amesema mbali ya muziki wake mwaka 2016 mpango…
Umeipata ya baba kuoa mpenzi wa mtoto wake? Imedakwa na ‘Hekaheka’ ya leo.. (+Audio)
Team nzima ya Leo Tena huwa inasogeza matukio mbalimbali ambayo yanatokea kwenye maisha ya mtaani ya kila siku kupitia 'Hekaheka'.. kona ya Hekaheka imekuja na stori ya kijana mmoja kutoka…
Hapa ndipo usajili wa Mbwana Samatta wa kujiunga na KRC Genk ya Ubelgiji unapocheleweshwa …
Bado ni headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kuchukua nafasi. Samatta ambaye anatajwa kukaribia…
Picha na kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori la mizigo Njombe.. #RIP
Siku chache zimepita toka taarifa zitufikie kuhusu ajali ya basi la abiria lililotumbukia mtoni eneo la Iyovi ambalo lina kona kali sana mkoa wa Iringa, taarifa nyingine ya huzuni inatufikia…
Baada ya Chelsea kupitia kipindi kigumu, Terry ana haya, Fabregas na Pedro muda wa kupiga self umepatikana …
Klabu ya soka ya Chelsea January 3 ilivunja mwiko wa kutopata matokeo mazuri kwa kuiadhibu klabu ya Crystal Palace kwa jumla ya goli 3-0 katika uwanja wa ugenini. Chelsea ambayo…
Jipu la pesa Uswisi? bomoabomoa Dar? wanawake na makalio makubwa, vitambi? #StoriKUBWA.. (+Audio)
Nakupa baadhi ya headlines zilizoguswa na Uchambuzi wa stori za Magazetini January 4 2016 mtu wangu... Mbunge Zitto Kabwe ampa jipu jingine Rais Magufuli, ni la walioweka fedha Uswisi. Bomoabomoa yadaiwa…
Usalama wa wateja wa benki, Lugha ya Kichina, wakuu wa shule na ubadhirifu..#MAGAZETINI
NIPASHE Zaidi ya abiria 1,000 wa treni ya abiria waliokuwa wakielekea Dar es Salaam, jana walikwama kuendelea na safari yao kutokana na reli kusombwa na mafuriko katika stesheni ya Kidete…
Tayari ninazo #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania January4, 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Video ya magoli Mtibwa Sugar vs Azam FC na Mtibwa walivyombadilikia refa
Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 2016 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, mpaka mechi inaisha…
Magazeti ya Tanzania January 4, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo January 4, 2016 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter…