Tutegemee kumuona Chicharito Arsenal January? msikie mkurugenzi wa Bayer Leverkusen …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Mexico ambaye amewahi kuichezea klabu ya Man United kwa miaka kadhaa Javier Hernandez Chicharito kabla ya mwaka 2015 kuamua kujiunga na klabu ya Bayer Leverkusen ya…
Kutoka Zenji Mtibwa Sugar washindwa kulipa kisasi dhidi ya Azam FC (+Pichaz)
Michuano ya Kombe la Mapinduzi imeendelea tena usiku wa January 3 baada ya kuchezwa mchezo wa awali kati ya Dar Es Salaam Young African ya Tanzania bara dhidi ya Mafunzo…
Chris Brown kwenye tuhuma nyingine za kumpiga mwanamke…
Staa wa R&B wa Marekani Chris Brown amekuwa haishiwi headlines..baada ya matukio mfululizo yakimuhusisha na Polisi, headlines zimerudi tena kwake. Ukiachia lile tukio la kumpiga mwanamuziki mwenzake Rihanna mwaka 2009…
Hawa ndio mastaa wa soka waliotajwa kuwa bora zaidi 2015…
Mashabiki wengi wa soka wanaamini nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ndiye bora duniani..lakini kuna hili gazeti moja kutoka Ufaransa la L'Equipe limeorodhesha wachezaji 100 waliofanya vizuri kwa mwaka uliopita wa…
Picha 20 Shilole, Linah, Baba Levo walivyoidondosha burudani Zanzibar
Jan 2 2016 mastaa wa Bongo Shilole, Linah, Baba Levo, Bonge la nyau, Bill Nas na wengine walijumuika Zanzibar na kutoa burudani ya kufungulia mwaka. Hapa nakukutanisha na matukio mbalimbali katika…
Kama hukuona ajali ya Mike Tyson kwenye hoverboard yake, basi ilikuwa hivi.. (+Video)
Bondia wa zamani mbabe aliyeweka rekodi za nguvu kwenye mchezo wa ngumi, Mike Tyson ameamua tu kutuonesha kwamba kama huwezi kutembelea hoverboard, basi wewe achana nazo tuu hata usijaribu kucheza…
Nyumba ya Mch.LWAKATARE, Mawaziri wa Magufuli Vinginguti, KINGUNGE na kasi ya MAGUFULI..#Magazetini
HABARILEO Makatibu wakuu na Naibu Makatibu Wakuu walioteuliwa na kuapishwa juzi wamekutana katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya semina elekezi iliyoongozwa na Katibu…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye MAGAZETI 8 ya Tanzania Jan.3, 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Wakenya hawajaipenda hii !! Rais Kenyatta anaendesha gari na hajafunga mkanda.. (+Video)
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa hii itakuwa ni mara ya pili kumuona Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anakaa kwenye kiti cha dereva na kujiendesha mwenyewe kwenye gari !! Hii mpya…
Video 2 fupi za comedy:Mrembo hatoki bila kupaka make – up, Warembo wanapenda wanaume wa namna gani?, basi zicheki hapa..
Kuna vipisi vya sekunde 15 kila kimoja hapa kwenye hii post ya vichekesho/vituko vilivyotengenezwa ambapo hiki cha kwanza hapa kinahusu Mrembo hatoki bila kupaka make-up na cha pili kinahusu warembo wanapenda Wanaume…