Stori na utani wa Rais Magufuli na watu wake enzi hizo kabla ya Urais, tazama jamaa alivyomwambia agombee Urais
Kuna wakati unajikuta unaelekea njia ambayo hujaipanga kwenye maisha yako lakini kumbe Mungu alikupangia huko siku nyingi tu,... jina la Dk. John Pombe Magufuli huenda halikupewa nafasi kubwa sana na watu…
Chege anatualika kuitazama hapa video yake kaifanya South Africa Ft. Uhuru & Runtown.
Inawezekana kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 pamoja na shughuli za uchaguzi wenyewe vilifanya wasanii wengi wakakaa zao na mizigo ya ngoma kali chimbo ili kusubiri hali ikae sawa ndio vitu…
Ni muda wa kuwasikiliza Yamoto Band kwenye single yao mpya….-‘Mama’ (+Audio)
Watoto kutoka kwenye familia ya Mkubwa na Wanawe TMK time hii wametusogezea single yao mpya iitwayo Mama wamemshirikisha Zena. Nakukaribisha kwenye link hii mtu wangu, unaweza kuisikiliza kwenye link ya…
Kilivyohappen kwenye uzinduzi wa video ya single mpya ya Ommy Dimpoz ‘Achia Body’…..
Hatimaye Ommy Dimpoz usiku wa kuamkia leo Dec 19 ametambulisha rasmi video ya single yake mpya iitwayo Achia Body kwenye ukumbi wa Golden Jubilee Towers Dar es Salaam. Hizi ni baadhi…
Magazeti ya Tanzania December 19 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 19 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Weekend ya December 19 na 20 itatekwa na michezo 26 yakuvutia kwa Tanzania, Uingereza na Hispania…
Tukiwa bado katika shamrashamra za maandalizi ya sikukuu ya Chrismas na mwaka mpya, burudani ya soka bado inaendelea kama kawaida duniani kote. Najua weekend inaweza ikaboa kama utakosa mahala pazuri…
Hii ndio kauli ya Thomas Muller ambayo ni pigo kwa klabu ya Man United ya Uingereza …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ujerumani anayekipiga katika klabu ya FC Bayern Munich ya kwao Ujerumani Thomas Muller, December 18 ameingia katika headlines baada ya kuamua maamuzi tofauti ila ni pigo…
Dakika 7 za Kumwembe na Saleh Ally wakichambua kuhusu Chelsea kumtimua Mourinho, ni sahihi? kosa lake … (+Audio)
Headlines za soka la kimataifa kwa sasa ni kuhusu uongozi wa klabu ya Chelsea kuamua kumuachisha kazi Jose Mourinho, taarifa ambazo zilitoka mchana wa December 17. Kila mtu kaongea lake…
Diwani wa CHADEMA aliyeikubali kasi ya Rais Magufuli
Kasi ya Rais Magufuli na kila serikali yake inachokifanya kwa sasa kinaonekana na wengi, na kila mmoja anatoa yake ya moyoni kulinganisha na yale aliyoyaona.... mtazame Diwani wa Ubungo kwa…
Picha 7 za Rock City shopping mall… inaanza kufanya kazi kesho Dec 19
Katikati ya Jiji la Mwanza kiko hiki kitu kizuri, kama uliwahi kupitia millardayo.com basi huenda uliwahi kukutana na pichaz zikionesha ‘Mlimani City ya Mwanza‘ ikiwa kwenye ujenzi. Sasa good news ni…