Headlines haziishi China, cheki na hii ya kulipia hewa safi ukiingia mgahawani…
Headlines kuwepo kwa wingu zito huko China zilichukua nafasi katika vyombo mbalimbali vya habari na kusababisha Serikali kuagiza baadhi ya viwanda vifungwe kwa siku kadhaa ili kukabiliana na hali hiyo.…
Dj Maphorisa katudondoshea hii video mpya ft Wizkid & Dj Buckz – Soweto baby
Dj Maphorisa ambaye ni producer aliyetengeneza single kama 'ole themba' ya Linah na Kaunyaka ya Temba na Chege, ni Dj wa South Africa kutoka kundi la Uhuru ambapo leo katudondoshea huu…
Kauli za wachezaji 6 wa zamani wa Man United wanaoamini Louis van Gaal anaibomoa Man United …
Headlines za mfumo wa kocha wa sasa wa Man United Louis van Gaal katika kukifundisha kikosi hicho zinazidi kuchukua nafasi kila siku. Tumewahi kuwasikia wachambuzi kadhaa wa soka ambao wamekuwa…
Ninayo taarifa kutoka TANESCO kuhusiana na miradi inayoendelea…..
Inawezekana ukawa na hamu ya kufahamu vitu vingi vinavyoendelea kwa sasa katika shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), sasa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kuhusiana na miradi ya umeme inayoendelea nchini. Akizungumza…
Waziri Mwigulu Nchemba alivyolazimika kufika Morogoro kwenye mapigano ya wakulima na wafugaji (Picha)
Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli imeanza kazi na tayari Baraza la Mawaziri limetajwa na wengine tayari wameanza kazi... Waziri Mwigulu Nchemba yeye ameteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo, Uvuvi na…
Picha 7 za Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi alivyopokelewa ofisini kwake leo..
Jumamosi iliyopita Rais John Magufuli aliwaapisha Mawaziri watakaoitumikia Serikali ya awamu ya tano katika viwanja vya Ikulu, Dar es salaam Mara baada ya kuapishwa Mawaziri hao walianza kazi ya kutumia…
Kanye West na Kim Kardashian kuwasaidia watoto 1000 msimu huu wa Christmas kwa mchango huu..!
Msimu huu wa Christmas 2015, Kim Kardashian anaziteka headlines kwenye pages mbalimbali za social media na websites za Marekani baada ya tweets zake kupitia page yake ya Twitter kugusa watu…
Ni muda wa kumsikiliza Mwana FA kwenye ngoma yake mpya…- ‘Asanteni kwa Kuja’ (Audio)
Kama umepita mitandaoni ndani ya kama wiki mbili hivi au zaidi utakubaliana na mimi kwamba kulikuwa na trend ya picha ya Mwana FA ikituweka tayari kwamba jamaa anakuja kivingine. Jina…
Mabibi na Mabwana Mtu Chee wametuletea hii video mpya ‘Mtu Tatu’..itazame hapa
Ma rapper wanaounda kundi la Mtu Chee, Stamina, Country Boy, Young Killer time hii wametuletea hii video mpya ya single yao iitwayo 'Mtu Tatu' wamewashirikisha Jux na Deddy. Unaweza ukabonyeza…
Hakuna tena Tip Top Connection? Wema Sepetu na Tuzo Kenya? Mpya ya Jux? Hizi hapa zote.. (+Audio)
Kama hukupata time kuisikiliza show ya XXL leo ninazo stori zenye headlines kubwa kwa staa Wema Sepetu, Martin Kadinda, na Babu Tale. Wema Sepetu amefanikiwa kuibuka na ushindi wa Tuzo…