Ratiba ya 16 bora ya UEFA, Arsenal Vs FC Barcelona, Real Madrid, Chelsea, Bayern na PSG Je? Cheki hapa …
Baada ya kumalizika kwa hatua ya Makundi ya mechi za klabu Bingwa Ulaya UEFA, December 14 ndio siku ambayo droo ya kupanga ni timu zipi zitakutana katika hatua ya mtoano…
Wyre kaidondosha kwako Official Video ‘Hotter’ Feat. Khaligraph Jones…
Staa wa muziki Wyre kutoka pande za Kenya kaisogeza kwako video ya ngoma yake mpya 'Hotter' ndani akiwa kamshirikisha Khaligraph Jones. Karibu uitazame hapa.. https://www.youtube.com/watch?v=EsWJCNn4VaE Unataka kutumiwa MSG za habari zote…
Ni MB Dog tena kwenye kionjo cha video yake mpya……..
Soko kubwa la wasanii wa Tanzania kwa sasa wanajitahidi sana kuwekeza upande wa video na kiukweli mabadiliko yanaonekana kabisa namna ambavyo wasanii wetu wanavyotumia gharama kwenye muziki huu ambao kwa sasa…
Ripoti kutoka Arusha Mjini na matokeo ya Ubunge yalivyosomeka leo.. (Audio)
Uchaguzi wa Mbunge jimbo la ARUSHA MJINI umefanyika jana December 13 2015, ambapo vyama vitano vya siasa vilisimamisha wagombea wa Ubunge Jimbo hilo. Wagombea waliopewa nafasi kubwa ya ushindi kwenye…
Diamond Platnumz, Flavour na AKA walivyokamata stage kwa pamoja South Africa… (Pichaz)
Kwa mara ya kwanza juzi December 12 2015 ndani ya South Africa limeshuhudiwa bonge la concert ambalo limepewa jina la BET Africa Experience, kilichoshuhudiwa ni burudani ya mastaa wakali kwenye stage moja…
Ni headlines za Mafikizolo na Diamond Platnumz Afrika Kusini….
Najua watu wengi walikuwa na hamu ya kufahamu headlines za kundi la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini na Diamond Platnumz juu ya collabo yao waliyoifanya tangu 2014 lakini mpaka sasa haijatoka.…
Kanye West: “Sitaki usumbufu wala kuombwa chochote kwa sasa”… kwanini!? Majibu haya hapa!
Kanye West ni miongoni ya wasanii walioweka headlines kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter baada ya tweets zake mbili za mwisho kuweka attention kubwa kwenye social media, pamoja na…
Mama amuunguza mwanaye, matumizi ya maji kuwafikia watu mil.1, RC azuia safari…#MAGAZETINI
MTANZANIA Mkuu wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Bitun Msangi, ametangaza kufuta ziara za mafunzo kwa madiwani wa halmashauri hiyo na badala yake amewataka waende kujifunza vijijini. Onyo hilo amelitoa…
Nicki Minaj awashambulia ‘haters’ wake wote kwenye Twitter… cheki alivyowagusa!
Rapper kutokea kundi la Cash Money Records, Nicki Minaj amekuwa topic kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter baada ya majibu yake kwa mtandao wa Bossip kuzua mjadala mkubwa siku…
Magazeti ya Tanzania December 14 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 14 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…