Dakika tatu za kumsikiliza Mbwiga wa Mbwiguke leo Januari 13
Mbwiga leo kazungumzia mtu aliyekua akiogopwa na timu ya Kagera Ranger,zitumie dakika hizi tatu kusikiliza udambwi dambwi aliouzungumza,sikiliza kupitia 88.1 Clouds Fm Mwanza. Bonyeza play kusikiliza.
Hiki ndicho kilichomtokea Gosby kwa Cindy rulz sikiliza kupitia You heard ya leo.
You heard ya leo inawahusu Cindy rulz na Gosby wanaosemekana ni wapenzi,kwenye mapenzi yao hiki ndicho kilichotokea kwenye tamasha la Urban Fresh Jitambue,Kisikilize kilichowatokea kupitia 87.9 Clouds Fm Arusha. Bonyeza…
Kauli ya mkuu wa wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara kuhusu mauaji ya wakulima na wafugaji.
Hii ni habari kubwa sana ambayo imebeba vichwa vingi vya magazeti mengi leo,ni kuhusu mtafaruku uliosababisha mauaji kati ya wakulima na wafugaji huko wilayani Kiteto katika mkoa wa Manyara 107.3Gerald…
Hekaheka ya leo inamhusu mwimbaji Mwasiti, isikilize hapa
Leo tena inakamilishwa na Heka heka,zitumie dakika 17 hizi kumsikiliza Mwasiti akisimulia heka heka yake ambayo hatokuja kuisahau katika Maisha yake ya Kimuziki,Sikiliza kupitia 98.6 Mara. Bonyeza play kusikiliza.
Pichaz za Sherehe ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Jana ilikua ni kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,sherehe hizi zilihudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi,Hizi ni baadhi ya picha…
Picha za Masquerade birthday party ya mama yake Beyonce aliyoandaliwa na wanae.
Beyonce na mdogo wake Solange wametumia kiasi kisichopungua dola 100,000 kumuandalia luxury Masquerade birthday party mama yao alivyofikisha miaka 60. List ya mastaa waliofika kwenye party hiyo ni Jay Z,The…
Usikilize hapa wimbo mpya wa Mwasiti ‘serebuka’
Baada ya kimya cha muda mrefu kupita sasa hii ndo ngoma mpya ya Mwasiti aliyoitoa leo inaitwa Serebuka,pata nafasi ya kuusikiliza wimbo huu uliofanywa studio za Sorround Sound Studio na…
Ulimiss kusikiliza Magazeti ya leo yakisomwa Redioni?haya hapa
Hizi ni dakika 21 za kusikiliza kilichojiri kwenye kurasa mbalimbali za Magazeti ya leo januari 13,ambayo yanasomwa na PJ kutoka 87.9 Clouds Fm Moshi, Bonyeza play kusikiliza.
Post ya kwanza kutoka kwa msanii Jux inayomhusu Jackie Cliff
Ni siku kama tano zimepita toka ubalozi wa Tanzania nchini China usema hauna taarifa zozote za kukamatwa kwa Mtanzania Jackie Cliff huko China na kwamba Watanzania wa mwisho kukamatwa ilikua…
Namna ambavyo Snura alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa na watoto Yatima leo.
Ni mara chache sana kutokea kufanyika kwa hili alilofanya Snura kwa kutamani kwa karibu na moja kati ya Mashabiki wa muziki wake ambao ni watoto hasa kwenye siku muhimu kwake…