Clouds TV yapata kibali cha kurusha matangazo yake kitaifa.
Leo hii tarehe 28/2/2014 Clouds TV imepata kibali cha kurusha matangazo yake Tanzania nzima. Clouds TV imekabidhiwa kibali hicho na Tanzania communications regulatory authority (TCRA). General director wa TCRA Prof…
Hiki ndicho kilichozaliwa kwa Marlaw,baada ya ukimya wake.
Huu ni wimbo mpya wa Marlaw ambao rasmi kauachia leo maalum kwa mashabiki wake wanaofatilia muziki wake,marlaw kwa sasa ni baba wa mtoto mmoja wa kiume,mpaka sasa sababu kubwa ya…
Hii ni Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mauaji na kisa kikiwa ni mapenzi.
Taarifa kutoka Mtwara ambayo wana-amplify jeshi la polisi Mkoa wa mtwara ni kuhusu mauaji yaliyotokea huko Mtwara ambayo chanzo chake kimeelezwa ni wivu wa kimapenzi uliokuwepo kati ya wapenzi hao.…
Kuhusu ajali ya Bus Kugonga Treni leo February 28 Singida.
Hii ni Taarifa kutoka Mkoani Singida ambapo Habari zilizotoka zinahusisha ajali iliyohusisha Basi la Bunda Bus lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi ya February 28 limegongana na Treni Eneo la…
Maneno ya Pnc kuhusu kilichotokea kati yake na Ostaz Juma Namusoma.
Usiku wa kuamkia February 26 uliingia kwenye headline kwenye mitandao ya kijamii na hii ni baada ya kusambaa kwa video na picha zinazomuonyesha Pancras Ndaki Charles au Pnc kupiga magoti…
Hatimaye Mke nae amjibu Mumewe,sikiliza hapa Hekaheka ya leo.
Hii hekaheka imeanza jana February 27 baada ya Mume kutoa taarifa za kusalitiwa na mkewe mara kwa mara huku muda mwingine mkewe akimtumia picha kumuonyesha anachokifanya huko alipo ambapo si…
Picha 16 za utengenezwaji wa video ya wimbo mpya wa Snura-Ushaharibu.
February 27 ni tarehe rasmi aliyoiteua Snura kuanza kushoot vipande vya video ya wimbo wake mpya unaoitwa Ushaharibu,miongoni mwa vipande vitakavyoonekana ni hivi ambavyo vimefanyika nje ya kidogo ya Dar…
Hii ndiyo sifa ya Wanaume anaowapenda Wema Sepetu.
Miongoni mwa mastar wa Tanzania wenye ushawishi mkubwa ni pamoja na Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 ambaye kwa sasa anaendesha kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo February 28 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Udambwi dambwi wa Mbwiga upo hapa wa February 27.
U Huu ni udambwi dambwi unaoletwa kwako na Mbwiga wa Mbwiguke kupitia Sports Extra ya Clouds Fm,Hapa anaizungumzia mechi ya African Sports na Rtc ya Kigoma,mchezo uliochezwa kwenye uwanaja wa…