Taarifa kuhusu kocha wa Taifa Stars kuachishwa kazi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili. Uamuzi huo umetangazwa leo…
P Square kuanzisha series yao mpya – The Alingo’s
Project hii imefanyiwa kazi kwa muda wa miaka 5 na mwaka huu ipo tayari kuanza kuonyeshwa, taarifa hii imetoka kwenye post ya Peter Okoye. The Alingo's ni TV series ya…
Ex-girlfriend wa Samuel Eto’o ashtua watu kuhusu umri wa mchezaji huyo.
"Tatizo la Chelsea ni kukosa wafungaji, nina Eto'o ambaye ana miaka 32 au labda 35 nani anayejua?". Hiyo ilikua ni kauli ya kocha Jose Mourinho akimzungumzia Samuel Etoo na baadae…
Maneno ya Diamond Platnumz kuhusu wasanii wanaomtengenezea ugomvi.
Staa huyu wa 'Number 1 rmx' ft Davido ameiandika hii na kuisambaza kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ya Instagram na facebook.
The Game aweka wazi kuhusu uhusiano wake na Kim & Khloe Kardashian
Khloe Kardashian na The game walijiachia pamoja kwenye night club kiasi cha kuwapa watu mashaka kwamba wawili hao wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi hivi sasa. Khloe alikuwa wa kwanza kukanusha…
Wale wa 50 Cent, kuna video yake ya ‘funeral’ hapa
Ni zaidi ya wiki moja imepita toka rapper 50 Cent alitangaza kuondoka kutoka lebo iliyochangia uzito wa jina lake kwenye hiphop Shady/aftermath via Interscope Records na tayari ameshaachia new music.…
Kama uko Dar na unapita barabara ya Mandela hii ni nzuri kwako kutoka NMB.
Benki yako ya NMB inazidi kukudhihirishia Mtanzania mwenzangu kuwa wao ndio Benki pekee yenye matawi mengi na inayozidi kufungua mengine ili kuhakikisha hupati taabu,hii ni moja kati ya good news…
Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni.
Naomba utumie hizi dakika 18 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye kurasa za magazeti mbalimbali ya leo uchambuzi huu unafanywa kupitia kisehemu cha Kuperuzi na Kudadisi ndani ya Power Breakfast na mchambuzi…
Magazeti ya leo February 27 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Magoli na matokeo ya mchezo wa Galatasary vs Chelsea
Chelsea imekuwa timu ya kwanza ya ligi kuu ya England kuweza kufunga goli katika hatua ya 16 ya michuano ya UEFA Champions League baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi…