Sikiliza wimbo mpya wa Temba na Kassim Mganga Lava lava
Huu ni wimbo mpya ya Temba na Kassim Mganga ni wimbo ambao umewakutanisha tena baada ya ule wimbo wa Chama kubwa wa Tip Top na Tmk wanaume family,mara nyingi imezoeleka…
Kuhusu kufungiwa video ya ‘Nimevurugwa’ ya Snura taarifa kamili hii hapa.
Inawezekana ukawa unashangaa baada ya kuona ukimya mara baada ya kutambulishwa kwa video ya Msanii Snura kisha kutoiona ikionekana mara kwa mara kwenye televisheni yako,kiu ya swali hili naikata kwa…
Sikiliza kilichotokea Nyumbani kwa Ney wa Mitego,kupitia You heard ya leo January 30.
Hizi taarifa anazi-amplify Soud Brown juu ya kilichotokea nyumbani kwake,ambazo inasemekana kamfukuza mshkaji wake kisa ni hiki hapa,sikiliza kupitia 87.8 Clouds Fm Mbeya. Bonyeza play kusikiliza.
Majibu ya kuchelewa kwa video ya Roho yangu ya Rich Mavoko haya hapa.
Mpaka sasa tayari video ya Rich Mavoco ya Roho yangu haijatoka rasmi ingawa ilishatoka taarifa ya kukamilika kwa hiyo video,millardayo.com imeongea na Rich Mavoco kuhusu hii video kwa kuzingatia kwa…
Huyu ndiye jamaa aliye tayari kumuua hata mama yake ili apate utajiri sikiliza kupitia Hekaheka hapa.
Bado tunasikia stori na zingine watu wamekua wakitoa ushuhuda kuhusu mtu anavyokuwa tayari kufanya kitu chochote ili apate mali,huyu ni jamaa ambaye kamtamkia Mke wake kuwa kuhusu suala la utafutaji…
Hizi ni dakika 15 za kusikiliza magazeti yakisomwa asubuhi ya January 30.
Kama kawaida ya millardayo.com ni kuendelea kukuweka karibu na vitu au kitu ambacho kilikupita,naomba kukuunganisha moja kwa m0ja mpaka kwenye Power Breakfast ya Clouds Fm ili kusikiliza Kuperuzi na kudadisi,sehemu…
Magazeti ya leo January 30 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Tumia dakika hizi 2 kumsikiliza Mbwiga leo January 29
Mpenzi wa michezo hizi dakika mbili naomba nizitumie kukuunganisha moja kwa moja na Mbwiga kusikiliza udambwi dambwi aliozungumza leo,sikiliza kupitia 107.3 Clouds Fm Manyara. Bonyeza play kusikiliza.
Unaambiwa tiketi za kielektorinik leo zimegoma kufungua milango mkwakwani.
Leo Tiketi za elektronik zimeshindwa kufungua milango ya elektronik kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga na kuzua tafrani kubwa,Kawaida mashabiki huzitumia tiketi hizo kufungua mlango lakini unaambiwa kila walipojaribu leo…
Kuhusu mwalimu aliyekua anamfundisha mwanafunzi wa darasa la 3 masomo ya kidato cha 3,sikiliza Hekaheka ya leo hapa.
Hivi ni vijimambo ambavyo vinatokea mara kwa amara kwenye makazi yetu,kutana na huyu baba mzazi ambaye ni mwalimu alipokuwa akimfundisha mwanae masomo ya kidato cha tatu wakati mwanae yuko darasa…