Hiki ndicho kilichompata Pasha,sikiliza kupitia Youheard ya leo.
Hiki kitu kimemtokea Pasha baada ya kugonga mtu na kusemekana mtu huyo amefariki dunia,taarifa mpaka sasa inasemekana bado yuko kituo cha polisi,tumia dakika hizi 5 kumsikiliza Soud Brown kwenye You…
Latest News:Kutoka kwenye jengo lililokuwa linaungua moto leo Kariakoo.
Kwa sasa vikosi vya zimamoto vimefanikiwa kuuzima moto huu,wakiongozwa na kikosi cha zimamoto kutoka uwanja wa ndegeMadhara,hasara bado hazijatangazwa pia hakuna taarifa ya mtu kupoteza maisha wala mtu aliyejeruhiwa kutokana…
Breaking:Ghorofa ya Gms Kariakoo yawaka Moto muda huu.
Taarifa za awali ambazo hazijathibitishwa rasmi zinadai kuwa kuungua kwa ghrofa hili kumesababishwa na shoti ya umeme kwa sababu sehemu kunakowaka moto kuna transformer,millardayo.com inaendelea kufatilia taarifa hizi.Ghorofa hili mpaka…
Kuhusu maandalizi ya video mpya ya wimbo wa Sharomilionea ‘Changanya changanya’
Aliyekua meneja wa Sharomilionea Hemed Kavu 'HK' ameongea na millardayo.com na ku-amplify taarifa juu ya video mpya ya wimbo wa Changanya Changanya wa Sharomilionea aliyoshirikishwa Ally Kiba. Uongozi huo umeipa…
Mambo sita usiyoyafahamu kuhusu wimbo wa Msambinungwa wa Tundaman.
Ni mara chache sana inatokea watu kuelewa maana ya misamiati kadhaa inayotumika sehemu tofauti mfano kwenye mashairi ya nyimbo,nahau au hata misemo kwa mfano mtu akikuuliza nini maana ya Msambinungwa…
Baba yake Neymar akiri kupokea fedha ili kuipendelea Barcelona kushinda mbio za kumsaini mwanae
Baba wa mwanasoka Neymar ametetea suala la malipo ya kabla ya €10 million ambayo Barcelona ililiipa kampuni yake miaka mitatu iliyopita ili kupata upendeleo katika kugombea saini ya mchezaji huyo.…
Hali ya Michel Schumacher yaendelea vizuri, ingawa bado yupo hatarini
Mwezi mmoja baada ya kujeruhiwa katika ajali ya mchezo wa kuteleza kwenye barafu, gwiji wa mchezo wa magari yanayoenda kwa kasi Formula 1, mjerumani Michael Schumacher ameiambia BBC kwamba madaktari…
Raisi wa Barca ataka Messi amzidi Ronaldo na kuwa mwanasoka anayelipwa zaidi duniani
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi hauzwi na klabu hiyo inapanga kujadili mkataba mpya na raia huyo wa Argentina, amesema rais wa kilabu hiyo Josep Maria Bartomeu. Kuna uvumi kuwa Messi…
Sikiliza magazeti yakisomwa redioni hapa
Hizi ni dakika 16 za kusikiliza magazeti yakisomwa na kuchambliwa asubuhi hii kupitia Power Breakfast na 'PJ' sikiliza pia kupitia 88.5 Clouds Fm Dar es salaam. Bonyeza play kusikiliza.
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo January 29 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…