Ad

Habari za Mastaa

Blac Chyna na Future ni wapenzi..? Picha hii inaweza kuwa uthibitisho wa uhusiano wao!

on

Baada ya tetesi nyingi sana kusambaa kuhusu mpenzi wa zamani wa Ciara, Future na aliyewahi kuwa mpenzi wa zamani wa Tyga, Blac Chyna kuwa ni wapenzi, sasa hivi inaonekana wazi kuwa mmoja wao hana chochote cha kuficha juu ya hisia alizonazo kwa mwenzake!

Blac Chyna ambaye aliachana na Tyga mwaka 2014, ameingia kwenye headlines baada ya kaamua kuhalalisha tetesi zote zinazosambaa mitandanoni juu yake na Future kwa kuchora tattoo mpya mkononi ya jina la rapper huyo.

CHYNAA

Ukaribu wa mastaa hawa wawili ulianza kuweka headlines kubwa sana baada ya camera kuwanasa wawili hao wakiondoka pamoja kwenye club moja yenye jina D.C Club na licha ya wawili hao kutokusema chocote juu ya ukaribu wao toka siku hiyo, tattoo mpya ya Blac Chyna inaonekana kujibu tetesi nyingi zilizokuwa zinasambaa kwenye websites na mitandao mbalimbali ya kijamii.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments