Habari za Mastaa

Black Motion walivyoinogesha Quarantine Online Party huko Afrika Kusini (+video)

on

Ikiwa Afrika Kusini imefunga shughuli zake na kukataza mikusanyiko mbalimbali kuepuka janga la Ugonjwa wa Corona Virus, sasa wakali wanaounda kundi la Black Motion wameamua kutoa burudani bure kupitia online iliyopewa jina la Quarantine Online Party ambapo wamezicheza ngoma mbalimbali zikiwemo nyinginezo zitakazopatikana kwenye album yao mpya inayotarajia kutoka hivi karibuni mwaka huu.

 

Unaweza bonyeza play kuitazama hii video ujionee burudani hii mwanzo mwisho

Tupia Comments