Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 6: Muonekano wa jengo lenye uzito mkubwa zaidi duniani
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Nyumba/ Mijumba > PICHA 6: Muonekano wa jengo lenye uzito mkubwa zaidi duniani
Nyumba/ Mijumba

PICHA 6: Muonekano wa jengo lenye uzito mkubwa zaidi duniani

April 10, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

April 10, 2017 imenifikia hii stori ya jengo lenye uzito mkubwa zaidi ambapo unaambiwa Jengo la Bunge la Romania lina uzito unaotajwa kufikia 4,098,500,000 kg na kulifanya kuwa jengo lenye uzito mkubwa zaidi duniani.

Jengo hilo lipo katika mji wa Bucharest, pia linajulikana kama House of the Republic au People’s House, ni moja kati ya majengo yenye utata Romania kutokana na historia yake likiwakilisha moja ya majengo ya anasa na yaliyotumia gharama kubwa katika historia ya binadamu.

People’s House ni jengo la utawala la pili kwa ukumbwa duniani nyuma ya Pentagon lililopo Marekani kwa eneo na jengo la utawala zito zaidi duniani linalotumika kwa matumizi mbalimbali yakiwemo pia Makao Makuu ya Southeast European Corporative Initiative (SECI) na kivutio cha utalii.

Jengo hili lina urefu wa futi 275.6 na linatawala eneo la square mile 1.41 na ujazo wa cubic meter 2.55 million likiwa na uzito wa 9.04 billion pounds (kilo 4,098,500,000) na lilitajwa kuwa na thamani ya Dollar 3.4 billion mwaka 2008 na kulifanya kuwa jengo la utawala ghali zaidi duniani.

Kwa namna lilivyojengwa lina vyumba 1,100, lakini vilivyokamilika hadi sasa ni vyumba 400 vilivyojengwa kwa Roman style huku miongoni mwa vitu ambavyo vinavutia sana katika jengo hilo ni uwepo wa milango iliyowekwa kwenye Ukumbi wa Nicolae Balcescu ambayo ilikuwa zawadi kutoka kwa Mobutu Sese Seko, Rais wa zamani wa Jamhuri ya Zaire (sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo).

AyoTV MAGAZETI: Ulikosa kilichoandikwa kwenye magazeti ya April 10, 2017? Bonyeza play kutazama.

You Might Also Like

PICHA 10:Unahitaji Nyumba au kupanga Mikocheni, Palm Village wana habari njema

VIDEO: Jionee Jengo refu DSM, apartment zake simchezo zinaanzia Million 250

PESA ZA MAYWEATHER: Katuonesha ndani ya jumba lake la Tsh BILIONI 56.7

Nyumba za Mabilionea zenye thamani zaidi Duniani…nyumba ya Bill Gates je?

PICHA 10: Itakugharimu Tsh. Bilioni 36.4 kununua Jumba hili la kifahari

TAGGED: majumba, Mijengo
Millard Ayo April 10, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: ‘Naamini uwekezaji wa migodi mikubwa haujasaidia nchi yetu’ –Hussein Bashe
Next Article ‘Bunge liahirishwe leo tujadili kuhusu wanaoteka watu’ – Hussein Bashe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?