Top Stories

PICHA 4: Tajiri namba 1 wa dunia Bill Gates yuko Tanzania

on

Tajiri namba moja wa dunia Mmarekani Bill Gates ameitembelea tena Tanzania ambapo picha zake zimeanza kusambaa akiwa kwenye ziara Muheza Tanga ambako amekutana na Mbunge pamoja na wadau mbalimbali.

Picha ya Bill Gates akiwa na Wadau mbalimbali pamoja na Mbunge wa Muheza Balozi Adadi Rajabu

Naambiwa kwenye ziara hiyo ya Tanga Bill Gates alikua anafatilia maswala mbalimbali ya afya ikiwemo utumiaji wa dawa za mabusha, matende na n.k na kuangalia ni namna gani anaweza kusaidia kwenye sekta hiyo ya Afya.

Kwenye hii picha unaweza kumuona Bill Gates akiwa kwenye meza kuu na kufatilia kila kinachojiri

Taarifa za sasa ni kwamba Bill Gates amerejea Dar es salaam na kuna mpango ilisemekana kwamba anataka kuonana na Rais Magufuli… endelea kukaa karibu na millardayo.com kwa ku-install APP ya ‘millardayo‘ ili kupata updates zote

BREAKING NEWS: Makonda, Ruge na Wahariri wafunguka kwa pamoja mbele ya Waandishi wa habari, play hapa chini kutazama

BREAKING NEWS: Msimamo wa CLOUDS MEDIA baada ya Makonda, Wahariri na Ruge kukutana na kuongea mbele ya Waandishi wa habari

Soma na hizi

Tupia Comments