AyoTV

VIDEO: Mr Blue alipopiga simu na kumfata Baraka waongee uso kwa uso

on

Hivi karibuni kumekuwa na stori za kupishana kauli kwa wasanii wa bongofleva Mr. Blue na Baraka The Prince, chanzo ni taarifa zilizodai kwamba Blue kampigia simu mpenzi wake wa zamani aitwae Naj ambaye kwa sasa ni mpenzi wa Baraka, mwisho wa siku Blue anasema hakupiga simu yoyote.

AyoTV inakukutanisha na hii Exclusive hapa chini, bonyeza play kupata kila kitu cha Blue

ULIIKOSA YA BARAKA KUMUITA MPENZI WAKE NAJ KWENYE STAGE? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KWENYE HII VIDEO

Soma na hizi

Tupia Comments