Mix

Tweets 6 za Waziri Bernard MEMBE zenye majibu ya kinachoendelea South Africa..

on

xenophobia

Ishu ya mashambulizi ambayo yametokea Afrika Kusini imechukua HEADLINES kwa zaidi ya wiki moja.. labda hakuna aliyetegemea hali hii kujirudia, sio mara ya kwanza kuona wageni wakishambuliwa Afrika Kusini.. Picha na Video ziko nyingi Whatsapp zinaonesha watu wanauawa, wengine wanaumizwa.

Hizi ni Tweets sita za Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameandika kuhusu hali inayoendelea Afrika Kusini.

MEMBE

Waziri Membe wakati akitoa taarifa hiyo leo DAR. (Picha: http://issamichuzi.blogspot.com/)

Mwamvita Makamba ni Mtanzania mwenzetu anayeishi Afrika Kusini, alifanya exclusive interview na millardayo.com, akasema yeye pia alijikuta katikati ya kundi la vijana ambao walikuwa wamechoma matairi barabarani, wakalizunguka gari na kutaka kumshambulia, alifanikiwa kutoka salama.. lakini hii ishu haikuhusiana na vurugu za ubaguzi wanazofanyiwa wengine.

Soma na hizi

Tupia Comments