AyoTV

Video ya mastaa wa bongo movie walivyofanya usafi Dec 9 na makamu wa Rais

on

Dec 9 2015 ni siku ambayo Watanzania mbalimbali waliungana na Rais John Pombe Magufuli kufanya usafi kwenye siku hii ya Tanzania kutimiza miaka 54 ya Uhuru, kwenye hii video hapa chini utaona jinsi mastaa wa movie Tanzania walivyofanya usafi wakiwa na Makamu wa Rais Mama Samia na wananchi wengine.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments