AyoTV

VIDEO: Baraza la Mitihani nalo lafunguka kuhusu wenye Vyeti feki

on

Leo May 15, 2017 ni siku ya mwisho wa Uhakiki  kwa waliobainika kuwa na Vyeti feki ambao hawakukamilisha uhakiki huo. Hii inakuja kufuatia agizo la JPM kutaka Watumishi wa Umma zaidi ya 9,000 waliobainika kuwa na Vyeti feki waondoke Ofisini ifikapo May 15, 2017.

Ayo TV na millardayo.com zimefika Ofisi za Baraza la Mitihani la Taifa ‘NECTA’ na unaweza ku-play kwenye video hii kutazama kila kitu…

Kauli ya serikali kuhusu wanaodai kusingiziwa vyeti feki…

Meya DSM, Mkurugenzi wake walivyoathirika na operation ya vyeti feki…

JPM alivyokabidhiwa Ripoti ya Uhakiki wa Vyeti vya Watumishi wa Umma – Dodoma. Bonyeza play kutazama…

 

Soma na hizi

Tupia Comments