Duniani

Boss wa BMW alivyojikuta akianguka mbele ya Camera za Waandishi wa Habari jukwaani.. (Pichaz+Video)

on

Ajali popote, ukiangalia pichaz na video za hii stori utaamini kwamba ajali haichagui mahali kwa kutokea… Boss wa Kampuni ya Magari ya BMW, Harald Krueger alijikuta akianguka kwenye stage mbele ya Camera za Waandishi wa Habari wakati alipokuwa akizungumzia ishu ya maonesho ya magari yao ambayo Kampuni hiyo itafanya Ujerumani!!

Msemaji wa Kampuni ya BMW, Maximilian Schoeberl amesema Boss wao haumwi na wala hana tatizo lolote, amekuwa mtu wa kusafiri sana kwa hiyo kuanguka kwake kunatokana na uchovu wa safari zake  za kikazi na kuna wakati hata Daktari wake alimwambia apunguze safari ili apate na muda wa kupumzika pia.

Hizi ni picha, mwanzo mpaka mwisho, CEO  Harald Krueger alivyokosa nguvu na kuanguka Jukwaani, Frankfurt Ujerumani.

BMW CEO Harald Krueger stands in front of a BMW i3 electric vehicle on the first press day of the Frankfurt Auto Show IAA in Frankfurt, Germany, Tuesday, Sept. 15, 2015. The car show runs through Sept. 27. (AP Photo/Jens Meyer)

Mwanzo ilikuwa hivi, Boss anaendelea na kutambulisha Gari zao mpya… alikuwa poa kabisa yani.

BMW CEO Harald Krueger collapses during the BMW presentation on the first press day of the Frankfurt Auto Show IAA in Frankfurt, Germany, Tuesday, Sept. 15, 2015. The car show runs through Sept. 27. (AP Photo/Jens Meyer)

Mara akayumba kama anarudi nyuma, akaishiwa nguvu mpaka akafika chini.

BMW CEO Harald Krueger faints during the BMW presentation on the first press day of the Frankfurt Auto Show in Frankfurt, Germany, Tuesday, Sept. 15, 2015. (Uli Deck/dpa via AP)

Mwisho akafika chini kabisa !!

BMW CEO Harald Krueger gets support after collapsing during the BMW presentation on the first press day of the Frankfurt Auto Show IAA in Frankfurt, Germany, Tuesday, Sept. 15, 2015. The car show runs through Sept. 27. (AP Photo/Jens Meyer)

Baadhi ya wafanyakazi ilibidi wamfate haraka ili kumsaidia kuinuka.

BMW CEO Harald Krueger, center, gets support after collapsing during the BMW presentation on the first press day of the Frankfurt Auto Show IAA in Frankfurt, Germany, Tuesday, Sept. 15, 2015. The car show runs through Sept. 27. (AP Photo/Jens Meyer)

CEO Harald Krueger aliinuliwa na ilibidi shughuli yenyewe aiachie hapohapo.

 Kipande cha Video nacho nimekipata hapa mtu wangu.

http://www.youtube.com/watch?v=g6P_5jL-zAI

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa, muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi>>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments