Videos

VideoMPYA: Ben Pol kaachia hii video mpya ‘moyo mashine’ aliyoifanya South Africa

on

Mshindi wa KTMA mwimbaji staa wa RNB Tanzania Ben Pol katuletea kichupa kingine kipya time hii alichokifanya Afrika Kusini na single yenyewe ni ‘moyo mashine’ ukishaitazama usiache kutuachia comment yako hapa na Ben Pol mwenyewe atapita hapa kujua watu wake wameipokeaje.

ULIIKOSA YA WASTARA AKIONGELEA KWANINI NDOA YAKE NA MBUNGE IMEVUNJIKA NDANI YA SIKU 80? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments