Habari za Mastaa

Kama ulimis muziki wa Best NASO jamaa nae leo ana hii video mpya mtu wangu- ‘Nitarudi Morogoro’

on

Best NASO

‘Narudi Kijijini’ ni ngoma ambayo ilifanya poa sana na kumfanya msanii Best Naso achukue Headlines kwenye game la Bongo Fleva mtu wangu, kama ulimiss kumsikia karibu kuucheki wimbo wake mpya.

Wimbo mpya kutoka kwake safari hii ni huu ambao Director Xainaco tayari ameikamilisjha kazi ya video, wimbo unaitwa ‘Nitarudi Morogoro’.

Tumia dakika zako tatu kuitazama kwa kuplay hapa chini mtu wangu…

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments