Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

VIDEO: Steve Nyerere ana mbwembwe “Nilitoa Milioni 20 kuwapa waganga”

on

Baada ya ushindi wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars wa kuingia hatua ya Makundi ya kuwania kufuzu World Cup 2022 nchini Qatar kufanikiwa kwa Tanzania kupata ushindi wa penati 3-0, baada ya dakika 120 kumalizika kwa aggregate ya 2-2.

Steve Nyerere ambaye alikuwa sehemu ya kama timu ya hamasa ya Taifa Stars na kuhamasisha mashabiki kwenda uwanjani, leo alijitokeza kushukuru watanzania na watu mbalimbali kwa kujitokeza na kuinga mkono Taifa Stars alitia maneno ya utani kuwa amewapa milioni 20 waganga wafanye mambo katika mechi ya Taifa Stars dhidi ya Burund.

EXCLUSIVE: SAMATTA KAFUNGUKA DILI LAKE KWENDA ENGLAND, VIPI CHAMPIONS LEAGUE

Soma na hizi

Tupia Comments