Stori Kubwa

DC Zainabu “Aweso ameipa heshima Pangani, haijawai kuwa na heshima hii”

on

Mkuu wa Wilaya ya Pangani Zainab Abdallah ambaye ndiye Mkuu wa Wilaya mdogo kuliko wote nchini amezungumza kuhusu kuzinduliwa kwa ligi ya mpira wa miguu Pangani ambayo imepewa jina la Mbunge wa jimbo hilo Jumaa Hamidu Aweso.

RC Zainab ameeleza kuwa hakuna Waziri au Naibu Waziri ambaye amewahi kutokea Pangani na hivyo Awezo kuwa Naibu Waziri kutokea jimboni hapo ni heshima kubwa sana kwao.

DC Zainabu amesema kwamba Mbunge Aweso ameipa Pangani heshima kubwa ndio maana hata wao wakaona ligi hiyo inastahili kupewa jina lake 

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Dc Zainabu akielezea

Steve Nyerere “Maisha yamekuwa Magumu lini kwako yamekuwa mepesi”

Soma na hizi

Tupia Comments