Top Stories

“Kama hali haieleweki tuwashauri Wananchi” – Nape Bungeni (+video)

on

Ni kutoka Bungeni Dodoma kwenye vikao vya bunge vinavyoendelea ambapo Mbunge wa Mtama Nape Nnauye alisimama leo April 17, 2018 na kuihoji swali hili kwa Serikali, tazama hii video hapa chini 

Nape alihoji Serikali imefikia wapi katika kutafuta soko la mbaazi ikiwa ni baada ya kushuka kwa kiwango cha bei ya zao hilo kutoka Shilingi 2000 hadi 150 ambapo majibu yametolewa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Eng Stella Manyanya

VIDEO: MABISHANO YA MBOWE NA POLISI MAHAKAMANI LEO BAADA YA KUKATAZWA KUONGEA NA WAANDISHI KWENYE ENEO HILO, TAZAMA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments