AyoTV

“Tuache kutishana” – Mbunge wa CCM Munde Tambwe Bungeni (video)

on

Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Tabora Munde Tambwe ndio ameitoa hiyo kauli baada ya kusimama Bungeni Dodoma kuchangia mapendekezo ya mabadiliko ya muswada wa sheria ya Shirika la mawasiliano ya simu Tanzania 2017 (TTCL).

“KIONGOZI NI KUSIKILIZA WATU, SERIKALI MNAFICHA NINI” – HUSSEIN BASHE MTAZAME HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments