Haya ni mambo matatu, sehemu ya makubwa yaliyoguswa kwenye mjadala wa Bungeni Dodoma… kama umekuwa mbali na Bunge na hujayanasa haya nimeona nikusogezee kwa ufupi kila kitu.
Kwanza ni kuhusu malipo ya pensheni kwa Mawaziri Wakuu wastaafu waliohama CCM.
MillardAyoUPDATES: ‘Kisheria Mawaziri Wakuu wastaafu wanahudumiwa na Serikali, huduma zao hazisitishwi hata kama wamehama vyama’- Serikali
— millard ayo (@millardayo) January 27, 2016
Kingine ni majibu kuhusu umeme chini ya ardhi Dar.
#MillardAyoUPDATES: ‘Serikali ina mpango wa kuweka mfumo wa kupitisha umeme chini ya ardhi Dar badala ya kutumia nguzo’-Waziri Prof. MUHONGO
— millard ayo (@millardayo) January 27, 2016
Nimeyapata majibu pia kuhusu TBC kutoendelea na matangazo ya Live kutoka Bungeni Dodoma.
#MillardAyoUPDATES: ‘TBC imesitisha matangazo #LIVE ya Bunge ili kupunguza gharama, Bunge linarekodiwa na kurushwa usiku’-Waziri Nape NNAUYE
— millard ayo (@millardayo) January 27, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE