Top Stories

Updates za Bungeni Dodoma > hakuna Live TBC1? umeme chini ya ardhi? Malipo ya waliohama CCM?

on

Haya ni mambo matatu, sehemu ya makubwa yaliyoguswa kwenye mjadala wa Bungeni Dodoma… kama umekuwa mbali na Bunge na hujayanasa haya nimeona nikusogezee kwa ufupi kila kitu.

Kwanza ni kuhusu malipo ya pensheni kwa Mawaziri Wakuu wastaafu waliohama CCM.

Kingine ni majibu kuhusu umeme chini ya ardhi Dar.

Nimeyapata majibu pia kuhusu TBC kutoendelea na matangazo ya Live kutoka Bungeni Dodoma.

 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments